What's the point? Sijakuelewa. Kiswahili hujui, point hakuna.chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,
What's the point? Sijakuelewa. Kiswahili hujui, point hakuna.
Kazi ipo. Haya Profesa basi tuambie kama mfumuko unasbabishwa na tatizo la mvua, mgao wa umeme unasababishwa na nani? Dowans nani kaileta? Uchaguzi wa Meya Arusha uliharibika kutokana na tatizo la mvua? Migomo ya wanafunzi je? Kama huna hakika na mambo unayoyaleta hapa ni vizuri ukawa muungwana kwa kukaa kimya. Kwenye bold kunadhihirish pia uwezo wakochadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,
Ukisoma vizuri utaona huyu aweza kuwa mdogo wako kiumri pia kimasomo mpe chance ajieleze mind you sii lazima u respond kwa kila thread! kama hauko impressed ipotezee tu. JF is for all na si kwako tu uliye soma saana na mwenye point!
Humu si sehemu ya kujifunzia kiswahili cha chekechea mwambie anatupotezea muda tufikirie mwarabu feki wa Dowans halafu sijui tena tuanze kufikiria alichoandika emma 26 kina maana gani hatuna muda huo lazima awe short and precise.Ukisoma vizuri utaona huyu aweza kuwa mdogo wako kiumri pia kimasomo mpe chance ajieleze mind you sii lazima u respond kwa kila thread! kama hauko impressed ipotezee tu. JF is for all na si kwako tu uliye soma saana na mwenye point!
kupanda kwa gharama za maisha ni tatizo la MVUA! duu pole sana na mbona hujasema serikali yako ifanyeje sasa!?chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,
[/B][/I]
Lakini ni home of Great Thinkers. Kama hana point atafute sehemu nyingine ambako watu hawachambui mambo. Atuletee point tumwelewe kisha tuchangie sio bla bla
Sure aende kwa Michuzi akangalie picha za ma miss.[/B][/I]
Lakini ni home of Great Thinkers. Kama hana point atafute sehemu nyingine ambako watu hawachambui mambo. Atuletee point tumwelewe kisha tuchangie sio bla bla
chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,