William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Hukuelewa mantiki ya swali hilo - kaa chini.‪- Lowassa‬ aliingia Chadema saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# Chadema.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia Chadema Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo Chadema wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!
Le Mutuz Nation
Mkuu huyo lemutuz ajidhalilishe mara ngapi?Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.
Wewe utaendelea kuishi kwa upambe hadi lini? cha msingi siyo Chadema bali wananchi wameupata ukweli na huyo Dr Tuli ameaibika kwa kushindwa kujibu swali moja tu ambalo limejirudia mara mbili, Silinde kammaliza kabisa Tuli wako, ni aibu kubwa kwa ccm.‪- Lowassa‬ aliingia Chadema saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# Chadema.....