aliyewaita nyumbu hakukosea,,, na hapa huna ulichojibu,, unajuwaje pande zinalinga bila kupiga kura??? na kwanini chama kipasuke ikiwa katiba na kanuni za uendeshaji zikifuatwa??? wewe huoni kwa uamuzi wa Mbowe wa kumtaka Msigwa ulitikisa chama kiasi kanda kutaka kupasuka??? Ungefanyika uchaguzi wa kushinda kashinda na wa kushindwa kashindwa na kisha wapiga kura wangeridhika....
Na baada ya kupigiwa kura ya ndio/hapana kura alizopata Msigwa zilidhihiridha kuwa asingeshinda,,,, kura zilizo mkataa ukijumlisha na idadi ya watu waliogomea kupiga kura zinazidi idadi ya kura za ndio,,,hii ni dhahiri mwenyekiti wa nyasa ni mteule wa mbowe Kwa faida zake mbowe na si chama,, nyumbu zinduka mto mara una mamba