Chadema na Lissu wapo mitandaoni tu

Tigo hiyo mkuu, legends watakuwa wameelewa
 
Bashiru na Pole Pole wanakihujumu sana Chama chetu.... Walahi hawa watu hawafai kubaki baada ya huu uchaguzi..... Kumbe jasiri aachi asili, Bashiru was CUF member. kirusi tuliletewa.
 
Sasa hapo kuna nini?? Mwambieni mpigapicha wenu siku nyingine awe anapiga picha kupitia drone ili tuone ukweli halisi. Angalia nyomi ya Tanganyika Packers TBC1 live. Lakini bado siku 13 tu tuwanyooshe!
wadau wanataka kujua idadi ya wasanii hapo packers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…