CHADEMA na lawama kwa Walimu


Usiseme walimu, ni wewe na wizi wako, kwani ulienda kama mwalimu? Mbona hiyo 2010,2015 CHADEMA walishinda majimbo mengi tu, yalisimamiwa na madaktari?

Kama hujui ni kwamba, nilisimamia uchaguzi mwaka 2020 huo wa MEKO, mbali na kutumia mabavu, aliweza kuwa spoil watu tangu awali, kwa sabab mtaji wake ulikuwa ni wananchi ambao wengi wana ujinga wa siasa, ambao kimsingi ni wengi, mwisho wa siku wakurugenzi ndio walisoma matokeo, na sio walimu, kuwa na aibu.
 
Walimu mnalaumiwa sababu ni wengi mnaweza mkafanya jambo na mambo yakaenda vizuri, kula zinaletwa kwenye masanduku huku mnaona lakini kimya
Wakafanya jambo, yaani kuwasaidia CHADEMA washike madaraka au??

Wanasiasa ni genhe la wapumbavu yaani.
 
Hoja yako ni walimu, na Mimi ni mwl niliingia kwenye uchaguzi kama mwalimu, uchaguzi huo wizi ulikuwa wazi wazi kwenye macho ya nyama Acha ubishi wa kijinga. Maaanduku yamepinduliwa na kubadilishwa kwenye magari ya tume tunaona Kwa macho weee vipi babu?? Accept lawama tunastahili.
 

Eti ubishi wa kijinga, yani hujengi hoja kueleweka unataka nikubali tu [emoji16] bro; wewe kuwa Mwalimu sio guarantee ya kunifanya nikubali kwamba sisi ndio tunaiba kura na kuiweka CCM madarakani; hata angekuwepo mtu mwingine, umesema masanduku yamepinduliwa na kubadilishwa kwenye magari, wewe kama mwalimu ulitaka ufanyaje hapo? Mbona huna hata aibu, bro....... yani hadi Bashiru alisema “wanatumia dola kubaki madarakani” kwani hWakujua kama kuna walimu? Ukiniona mbishi endelea tu, ila sikubali ujinga mimi, vihasira vyenu pelekeni hukoo
 
Wee jamaa hujielewi. Walimu tunastahili lawama zote za nchi ilipo sasa. Sisi ndio sababu, think wide Acha kuwaza kibata.
 
Wee jamaa hujielewi. Walimu tunastahili lawama zote za nchi ilipo sasa. Sisi ndio sababu, think wide Acha kuwaza kibata.

[emoji16][emoji16][emoji16] relax bro; umesha karirishwa huko, kada mtiifu.
 
Maelezo yako tu yanakutambulisha kama mwanachama mtiifu wa CCM
 
Maelezo yako tu yanakutambulisha kama mwanachama mtiifu wa CCM

[emoji16][emoji16] mmeshikwa akili ya kwamba; kutoa maoni ni mpaka uwe kada wa chama. Pole sana, sikupingi tena mtiifu sio kidogo.
 
hakuna majuha kama hili kundi
 
Nyie walimu mnafanya mazuri sana na lile jukwaa la walimu wa CCM.
 
Haha haha . Unachrkesha sana ndugu mwalimu. Walimu wote wanaojielewa ni wafuasi wa vyama vya upinzani kama hujui jua leo. Acha wale wa msingi
Waendeshaji wa zoezi ! Wewe mwalimu wa wapi usiyejua kwamba hata waendeshaji wa zoezi nao ni sehemu ya zoezi?
Chukua hi (2015) nilikuwa vijijini huko nimeajiriwa na serikali sasa sipo huko.
Nilienda kujiandikisha kijiji cha mbali kidogo na pale mjini ili nipate huduma kwa haraka.
Siku ya uchaguzi baada ya ccm kuona Lowasa atashinda wakaja na mbinu. Watu waliambiwa waseme hawajui kusoma na kuandika baada ya kupewa 10000/= hizi zilikuwa zinatolewa na ndugu ye kigogo.
Walimu walikuwepo kwenye chumba cha kupigia kura ndiyo waliokuwa wanawapigia kura za ndiyo waliojiita hawajui kusoma naa kuandika kumbe URONGO
mambo haya huwezi kuyajua kama anachukulia walimu kama kundi fulani la watakatifu.
99% ya walimu ni waoga kwa muajir hata kabla ya KIAPO. jiulize akiapishwa kusimamia uchaguzi hali itakuwaje????
Note: siwadharau walimu kwa lolote.
 
Tumekusikia kada mwaminifu wa CCM.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…