Kwa hiyo wewe nikimtaja Heche roho inakuuma? Nimecheka eti napewa buku mbili.
Mimi kwa siku natumia all most $30 kwa internet tu kwenye simu yangu BlackBerry Touch, Laptop, Desktop Computer ya home
Ritz nakushauri ukapimwe akili maana ndicho kipimo pekee cha sanity ya binadamu yeyote yule. Panda basi la Shabiby ukifika Dodoma kuna clinic ya Mirembe au kama unaishi ughaibuni basi tafuta huduma ya karibu huko huko ili ukirudi jamvini uwe timamu kifikra na busara pevu kama ya kuandika upupu wako. Ronald Reagan na John Major hawakuwa wamesoma lakini waliongoza USA na UK vizuri sana. Naomba kuwasilisha hoja
Hapo umechanganya mambo! Unatumia $30 kwa Internet tu lakini "unatumiwa" kwa buku mbili!!? Lol...
unachangia kama unakipande cha UKUNI matakoni...!
Unachekesha...lol...
Mi ndo nachekesha au wewe! Unatumika vibaya dogo! Unatumia $30 kwa net halafu unatumika kwa buku mbili!!? Huoni hicho ndio kichekesho!
Masuala ya Uchumi ni taaluma sio porojo..
Nikiangalia safu yote ya Uongozi wa CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni watatu tu.
1. Zitto Kabwe
2. Halima Mdee
3. Tindu Lissu
Wengine hamna kitu
Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..
Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.
Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu
Masuala ya Uchumi ni taaluma sio porojo..
Nikiangalia safu yote ya Uongozi wa CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni watatu tu.
1. Zitto Kabwe
2. Halima Mdee
3. Tindu Lissu
Wengine hamna kitu
Mkulo hashauriki lakini pia hajui abc za uchumi, elimu yake ya kuunga unga na gundi tusitarajie unafuu wowote, shilingi itazidi kuporomoka!
ha ha ha ha ha ha ha!Paw, Mods: naombeni mnilinde na awa wahuni wanaichafua JF
Hivi una akili kweli ritz1??? we una elimu gani??
haya tuendelee Meshack Upulukwa M Sc (MNRSA) - SUA, .... Ester Matiku M Sc Economics - UD, REgia Mtema - B Sc Home Economics & Human Ntrition - SUA, kahigi kalikoyega - Professor, .... JJ Mnyika LLB - UD, Abdalah Safari (Professor), Dr Kitila (PhD),....mimi mwenyewe PhD.....
Labda $30 unadhani set 30..dola 1=1720 Tsh 51'360 sasa buku mbili ya nini mimi kwa siku natumia 51360 kwa matumizi ya Internet tu