Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..
Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.
Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu
CCM na Gavana wao hawajui neno balance of trade .Wakilijua hili basi Uchumi utasimama na CCM ukiwaambia in the open hawakubali ila wanapinga wakiingia wanajifanya kutoka kwamba wan solution kumbe wame copy .Kwa sasa wako bize kila moja anatafuta cha kuuza .Pinda kauza Ardhi huko US Mkulo na Gavana nao wana yao .
Lini au siku gani ulishawahi kumsikia Lema au Heche au Mbilinyi wakiongelea masuala ya Exchange rate Economics?
Wanachojua ni maandamano tu
Wewe mwenyewe hilo neno nililo bold hapo juu hulijui, nenda kwa mwalimu wako kamuulize tena sio kutuletea upupu humu ndani. Umelisikia kwenye mikutano ya hadhara bila kujua nn maana yake
Inauma sana, unapokwenda supermarket unakuta maziwa fresh kutoka nje ya nchi na wabongo wanayakimbilia huku wakilaumu kushuka kwa sarafu yetu.Kuuza madini kupita BOT yaani madini yote kabla ya kuuzwa lazima yaizinishwe na BOT ili kumonitor mapato hilo moja lakini pili kupunguza importation ya vitu substandard na vitu ambavyo tungeweza kuzalisha wenyewe kama office furniture haina haja kuagiza hivi kutoka nje wakati kuna vijana wengi wanajishughulisha na uselemala kwahiyo ni kuwawezesha vijana hawa ili watengeneze vitu vyenye viwango tunavyo taka.
Pia kuongeza uzalishaji wa ndani kwa vitu tunavyoweza kuunda wenyewe sio kila kitu tuimport hata pamba za masikio,viberiti,mswaki hii itapunguza ile negative balance ya Exportation minus Importation.
Lini au siku gani ulishawahi kumsikia Lema au Heche au Mbilinyi wakiongelea masuala ya Exchange rate Economics?
Wanachojua ni maandamano tu
Kwa sasa kuna crisis ya kuporomoka kwa TSHS against USD.Je chadema ingesolve vipi tatizo hili? Cant you advise mkulo on this?
Masuala ya Uchumi ni taaluma sio porojo..
Nikiangalia safu yote ya Uongozi wa CDM wenye elimu ya chuo kikuu ni watatu tu.
1. Zitto Kabwe
2. Halima Mdee
3. Tindu Lissu
Wengine hamna kitu
unachangia kama unakipande cha UKUNI matakoni...!