Sio ugoro, huo ndio ukweli, waacha siasa za maji machafu, mbn mbowe kimya????ugoro kutoka Lumumba
Una uhakika Mbowe yuko Kimya??Sio ugoro, huo ndio ukweli, waacha siasa za maji machafu, mbn mbowe kimya????
Munaacha kujibu Hoja, munakuja na misemo ya kale.TUKIO LA LISSU LILIPANGWA NA CHADEMA KWA AJILI YA KUJA NA AGENDA YA KUTISHIWA MAISHA
Joshua Nassari – Nafuatiliwa na watu wasiojulikana , maisha yangu yapo shakani
Godbless Lema – Gari Langu limefunguliwa nati za matairi yote manne wakati linatembea, Maisha yangu yapo shakani.
John Heche – Natishiwa maisha yangu na watu wasiojulikana, maisha yangu yapo hatarini
Ester Bulaya – Nafuatiliwa na watu waliovalia kininja, Maisha yangu yapo hatarini
CHADEMA ACHENI KUCHONGA KINYAGO ILI KUJITISHA WENYEWE.
[HASHTAG]#NCHI[/HASHTAG] IPO SALAMA – MAJALIWA KASSIM MAJALIWA (PM)
ningekujibu ila naogopa utafunha kula wiki nzimaChadema sifa yenu kubwa ni uongo,unafiki na uzushi uliopitiliza pamoja na kutetea ufisadi na ukiukwaji wa sheria. Mmepoteza uhalali wa kuendekea kuambuliws kama chsms cha siasa.
Lissu alidai kufuatiliwa tukasema ni mwongo, mpaka alipopigwa risasi. Hawa wengine anasema halafu sisi tunasema ni waongo! Ama tunataka mpaka wapigwe risasi? Nchi hii imechafuka, sio mahali salama pa kukaa tena. Mungu atusaidie.Chadema sifa yenu kubwa ni uongo,unafiki na uzushi uliopitiliza pamoja na kutetea ufisadi na ukiukwaji wa sheria. Mmepoteza uhalali wa kuendekea kuambuliws kama chsms cha siasa.
Umemsikia liniUna uhakika Mbowe yuko Kimya??
Kutomsikia haina maana hajaongea, manake sio lazima kila siku nimsikilizie ataongea nini au lini,Umemsikia lini
Kweli kabisa.Hakuna hoja ya kujibu zaidi ya upuuzi wa hao Chadema
Chadema sifa yenu kubwa ni uongo,unafiki na uzushi uliopitiliza pamoja na kutetea ufisadi na ukiukwaji wa sheria. Mmepoteza uhalali wa kuendekea kuambuliws kama chsms cha siasa.
Lissu hajawahi na hatakuwa kuwa tishio kwa serikali ya JPM. Ila ni tishio kwa wenye chama chao kutoka Kaskazini. Lissu ni tishio kwa Mwenyekiti Chadema Taifa. Lissu ni tishio kubwa kwa yule mzee aliepewa hati miliki ya kugombea Urais 2015 na 2020. Ndiyo walitaka kutumia kivuli cha serikali ya Magufuli kumuua Lissu ili waseme serikali imemuua. Kwa hili mmekwama. Mngetaka wachunguzi wa nje basi mngeoomba pia wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe.Uje uchunguzi wa nje kuthibisha