CHADEMA na haiba za kidikteta

CHADEMA na haiba za kidikteta

Jamani si walisema na wakatabiri kwamba haka kachama katajifia kabla ya uchaguzi 2015? Vipi tena mbona kila siku ni Thread za CDM tuuuuu
 
Alaa kumbe Ukawa inamilikiwa na hawa wadini na wakabila #chadema !!!Cuf na nccr hamjashtuka tu?
Wewe naye ni taahira mwingine usiyejitambua. Huna tofauti na wasaliti. Buku 7 zinakufanya usione uchafu wa hali ya juu unaofanywa dhidi ya Watanzania na chama chenu cha wahuni. Alishafukuzwa huyo siku nyingi, sasa iweje tena mtu ambaye anataka kutusulubu aandike barua ya kutaka kujiunga nasi!? Acha kukurupuka na kuropoka....Kwenye Kiswahili hakuna neno "surubu".
 
Saccos ya wachaga chini ya dikteta mbowe kaka yake Nkurunzinza,watanzania zindukeni jaman
 
Unadhani bila udicteta kidogo nchi hii inaenda basi, kupeana vyeo kiswaiba na kutoyapa uzipo mambo muhimu ya kitaifa ndo kumetufikisha hapa tulipo leo hii
 
Kuna kila dalili, kutokana na tabia za wafuasi wake ambao zimejidhihirisha humu, kwamba Chadema kikaja kuwa na utawala wa kidikteta.

Nasema hivyo, kwakua, members wengi wenye mtazamo wa kukisupport chama hicho ni wale ambao hawataki mawazo taofauti na yao.

Sijui ni kwa namna gani binadamu, anakua na uwezo wa kumkataza mwenzake kufikiri...ama hata kuzungumza mawazo yake?? Ni ajabu sana.

Ukienda kinyume na mawazo ya mashabiki wa chama hicho lazima upokee matusi ni ajabu sana.

Inashangaza kuona ni kwa namna gani serikali ya ccm ingeamua kua na hulka kandamizi , vyama vya upinzani vingepata wapi kuzungumza haya wanayoyazungumza.

Nasikitishwa na ninaomba sana Mungu Chama cha namna hii kisipate nafasi ya kutuongoza, kwa hulka hizi, kuna hatari haki za raia wengi kukandamizwa.

hapo umepatia sana yaani hiki Chama ni laana tupu hakuna hata mmoja mwenye hekima.na mikutano yao mpaka watukane ndiyo ionekane kuwa Chadema ilikuwa hapa.
 
[QUOTE=Simiyu Yetu; UDIKTETA WA CHADEMA HUENDA UKAWA BARAKA KWA WATZ NA ADHABU KWA MAFISADI KAMA CHENGE.
 
Ccm ina miaka takriban 40 sasa, ni lini ccm umewahi kumuona mwanachama wake akiipeleka mahakamani? Na ngoja tuwatoe madarakani hao watu walioko kinafki kwa sababu mmekamata dola hivyo hata wanaofanyiziwa inabidi wanyamaze tu ili kubaki ndani ya mlo watakavyowageuka.

Kwa maana hiyo unataka kusema kwamba Chadema wanafuata kile kinachofanywa na CCM? Kama ni hivyo, basi hakuna haja ya kuwepo chama kinachoitwa Chadema maana kinacopy kila kitu kutoka CCM.
 
Kuna kila dalili, kutokana na tabia za wafuasi wake ambao zimejidhihirisha humu, kwamba Chadema kikaja kuwa na utawala wa kidikteta.

Nasema hivyo, kwakua, members wengi wenye mtazamo wa kukisupport chama hicho ni wale ambao hawataki mawazo taofauti na yao.

Sijui ni kwa namna gani binadamu, anakua na uwezo wa kumkataza mwenzake kufikiri...ama hata kuzungumza mawazo yake?? Ni ajabu sana.

Ukienda kinyume na mawazo ya mashabiki wa chama hicho lazima upokee matusi ni ajabu sana.

Inashangaza kuona ni kwa namna gani serikali ya ccm ingeamua kua na hulka kandamizi , vyama vya upinzani vingepata wapi kuzungumza haya wanayoyazungumza.

Nasikitishwa na ninaomba sana Mungu Chama cha namna hii kisipate nafasi ya kutuongoza, kwa hulka hizi, kuna hatari haki za raia wengi kukandamizwa.
Ulizeni Sauti Ya Wananchi
 
Mwongo weee !!!
 
Miaka saba ishapita lakini bado Uzi huu umebakia kuwa analysis ya jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom