Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,005
- 51,115
Kuna kila dalili, kutokana na tabia za wafuasi wake ambao zimejidhihirisha humu, kwamba Chadema kikaja kuwa na utawala wa kidikteta.
Nasema hivyo, kwakua, members wengi wenye mtazamo wa kukisupport chama hicho ni wale ambao hawataki mawazo taofauti na yao.
Sijui ni kwa namna gani binadamu, anakua na uwezo wa kumkataza mwenzake kufikiri...ama hata kuzungumza mawazo yake?? Ni ajabu sana.
Ukienda kinyume na mawazo ya mashabiki wa chama hicho lazima upokee matusi ni ajabu sana.
Inashangaza kuona ni kwa namna gani serikali ya ccm ingeamua kua na hulka kandamizi , vyama vya upinzani vingepata wapi kuzungumza haya wanayoyazungumza.
Nasikitishwa na ninaomba sana Mungu Chama cha namna hii kisipate nafasi ya kutuongoza, kwa hulka hizi, kuna hatari haki za raia wengi kukandamizwa.