KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
- Thread starter
-
- #101
mzazi shule inatakiwa hapa? nani kataja kuwa mbele ya cuf,ishu ni uchaguzi tuone mshindi nani kama cuf atafuatia no problem but cha muhimu ushindi wa ubunge kwa chadema acha kufikiri kwa makalio
kuhusu cuf i have no idea zaidi ya kujua ni chama cha siasa ila chadema nilipata kusikia kwamba ni chagga delopment something nimesahau kidogo,je upo ukweli wa hilo??nomba wanajamvi wanaoijua chadema sawasawa wanijuze hili pia,naona limenijia wakati mzuri sana
Hapo kwenye red tu ndio pana kaukweli fulani
CDM na CUF vita vyao ndiyo mtaji wa CCM.
Hivi Chadema kina wanachama wangapi VISIWANI?
Kumekuwepo na mtazamo tofauti juu ya kipi chama mashuhuri na pendwa zaidi kwa watanzania miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani Tanzania,hapa navizungumzia cdm na cuf,wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaazia namanga na kuishia njia panda ya Himo na wengine wanasema cuf ni mashuhuri na inapendwa zaidi kwenye ukanda wa pwani na kusini mwa Tanzania,lakini wapo wanaodai cdm ina nguvu Tanzania nzima kasoro zanzibar huku wengine wakisema hapana cuf ina mtandao mpana zaidi na safu ya uongozi iliyoshiba wakati huku wakidai chadema ina mtandao mdogo na safu nyembamba ya uongozi,wewe mwana jf CHADEMA na CUF kipi mashuhuri kwa watanzania???
matusi na hoja nyembamba havina nafasi,tumuenzi mwenzetu Regia mtema(R.I.P. SIS)-Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane".
nIKISEMA NIHESABU WALE WATU WALIOKUWA WANAMSIILIZA SIJUI KAMA 50 WATAFIKA
Hivi Chadema kina wanachama wangapi VISIWANI?
View attachment 64750Mimi si mwanasiasa lakini napenda kufuatilia siasa za Tanzania na dunia.Haina ubishi kwamba chama maarufu ni kile ambacho kinahofiwa na chama tawala kuchukua dola.Sasa CDM utailinganishaje na CUF wakati CUF ni mwanandoa(mshirika) wa CCM chama chenye hofu ya kuondolewa madarakani na kinachomalizia muda wake?CDM kwa sasa hakiwezi kulinganishwa na chama chochote kwa umaarufu.Kama CUF itataka umaarufu haina budi kujiondoa kwenye ndoa iliyoifunga kwa kulazimishwa.
Cdm ni political party while cuf ni muslim institution engaged in political issues