ukitulia na kusoma vizuri kwa kituo utagundua kwama umadandia mada bila kuielewa,yani umekurupuka kiufupi,hakuna mahali niliposema kwamba ni mimi ndio ninaesema bali nilichosema ni wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaanzia namanga na kuishia njia panda ya Himo
mchungaji mwenyewe aliyekodiwa ni huyu???
Hivi unapoandika habari ni lazima uandike "haya, mimi nasema"? In short, (wewe) umemjuza huyo muungwana kwamba kuna wanaosema. Kisichoeleweka hapo ni kipi?
okey labda niiweke hivi,kwani mchungaji hawezi kuwa mwanachama wa chama cha siasa mpaka anunuliwe au kukodiwa?kwani mtu kama padri slaa au mchungaji peter msigwa au mchungaji rwakatare wamekodiwa na vyama vyao?Weka picha ya mchungaji aliyepanda jukwaani jana acha kuweweseka! Kama huna sema tu-upload movie nzima.
kwanini chadema hampendi kuwa tested?mnapenda kusifiwa tu,mtaitawala hii nchi kidikteta nyie watu tukiwapa ridhaa
kwanini chadema hampendi kuwa tested?mnapenda kusifiwa tu,mtaitawala hii nchi kidikteta nyie watu tukiwapa ridhaa
kama kweli unapenda kuwa tested .... hebu verify hii comparison kwa kuweka questionable fact hizi
Je CUF bara ina wubunge wangapi na cdm wangapi?
pili, mgombea urais 2010 wa CUF amepata kura ngapi na CDM amepata ngapi?
ukiweka hizi data hapa katika contents za topic yako utakuwa ni GT
mimi si ndio nimewaletea nyie great thinker sasa tena na wewe unaniuliza mimi,kweli wabongo tuna tatizo la kuelewa mambo kwa haraka
okey labda niiweke hivi,kwani mchungaji hawezi kuwa mwanachama wa chama cha siasa mpaka anunuliwe au kukodiwa?kwani mtu kama padri slaa au mchungaji peter msigwa au mchungaji rwakatare wamekodiwa na vyama vyao?
Kumbe we ni Cuf lakini hamna haja ya kutumia nguvu nyingi kukujibu. Msimu wa ligi kuu 2010 mlipigwa 22-1 bara. Mechi za pre-season inaonekana hukupata matokeo, bingwa mwenyewe wa 2010 pre-season match to msimu wa 2015 anapumulia icu check igunga (tff wameifuta mechi na kanyanganywa point na ushindi) , arumeru mashariki, mbeya, kirumba mwanza. Hata hivyo usiwe na presha wathamini wa ligi NEC naona wametoa ratiba ya pre-season this octoba sijui mtashiriki? Ah nilisahau Zenj kwa Raza Cuf mliishia wapi vile?
Mkuu wangu sometimes unachemkaga mbaya! Hebu lijuze jukwaa hili ni lini na wapi "Padre" Slaa, Mchungaji Msigwa, au Mchungaji Rwakatare walisimama jukwaani kwenye mikutano ya hadhara kuombea mikutano ya vyama vyao.
Mtatiro kwani ni Mchungaji?
]haaa kumbe huyo mchungaji alisimama kuombea mkutano wewe ndio unaumia mbona sio jambo la ajabu hilo kaka,ina maana huo ndio mkutano wa kwanza wa kisiasa kuombewa uende salama?[/COLOR]