CHADEMA na CCM igeni haya CUF

CHADEMA na CCM igeni haya CUF

Mliberali naona leo umeamua kutoa uzi mwenyewe na kuuchangia wewe mwenyewe, hongera. Lakini sasa hivi hata huko pemba mnapojivunia tunakuja kuwashika. Wamewagundua nyie mnataka kuwapeleka pabaya (ndoa za jinsia moja)
 
Mimi sioni tofauti ya viongozi wa ccm na cdm wanafanana kwa kila hali.heri ssm kuna demokrasi lakini cdm imekuwa chama cha familia.cdm mkitaka kuwa chama acheni kuchukua makapi ya ccm.tengenezeni viongozi wenu.hao wamekuja kwenye ulaji tu baada ya kutemwa na ccm .ndio maana wengine wanawapa masharti ili kulinda ulaji wao.tegeemeeni kupokea makapi zaidi 2015.chama kinaanza kumezwa na fikra za ccm.

kumbe hata maalimu mlimtengenezaa eheeee!
 
Ni kweli mkuu CHADEMA ilionesha udhaifu mkubwa pale iliposhindwa kumtimua Zitto Kabwe mtoto wa Mama Lulu, Kiukweli jamaa huyu alikiyumbisha sana chama japo solution isingekuwa kumfukuza lakin basi angepewa hata kajihadhabu fulan tu ingetosha.

Lakin ni heri Lameck Madelu wa MACCM kuliko Lipumba wa cama cha MiCUF.
 
CHAMA CHA CUF kimeprove kuwa chama kilichokomaa na kisichobebwa na mtu bali sera zake
1. Mwanachama yoyote anaeenda kinyume na katiba ya chama anafukuzwa maramoja bila kubembelezwa
2. Akiwa kiongozi vilevile akieennda kinyume na katiba anafukuzwa angalia hamadi rashidi, mwasisi james mapalala na wengine wengi
3. Ufisadi mwiko
4. Kuropoka nje yani kwneye vyombo vya habari mambo ambayo yalipaswa useme kikaon
nisababu tosha ya kuwa muhaini wa chama na waweza kufukuzwa.

My take: CHADEMA wamekuwa wanfukuza vidagaa lakini wapo MAPAPA aambao wanaweza kumpinga katibu mkuu,au mwenyekiti lakini kutokana na umaarufu wa viongozi hao wanawaogopa na kushindwa kuchukua maamuzi magumu wamebaki kuwaita MASALIA this is weakness.

CCM wamesshindwa kuwavua gamba baadhi ya viongozi waliotuhumiwa katika ufisadi mfano ni CHENGE NA LOWASA walimwambia mwenyekiti ukimwaga ugali tunamwaga mboga na sula LA KUJIVUA GAMBA LIKAFA.

HIVYO TUIGE MFANO TOKA CUF HAKUNA UMAARUFU AU KUJULIKANA YOYOTE ANAWEZA FUKUZWA AKIENDA KINYUME NA SERA ZA CHAMA.
Mh kumbe unaongelea ccm B haya bwana lkn kingekuwa chama makini nafikiri kingeendelea kuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni lakini kwa kuwa si chama makini kama unavyotaka kuaminisha umma hakina mvuto tena ule wa miaka ileeeeeeeeeeeee
 
Hahahahaha aksanteni wote kwa kunipunguzia stress usiku wa Leo teh teh teh....
 
Cuf ccm chadeam mje muige mambo nccr mageuzi tumejipanga
 
Back
Top Bottom