Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,961
- 134,052
Mkuu huwezi ku-argue kisiasa mpaka unipe matusi?Wewemawazo na the like ni mburula..wafu wanaotembea
Mkuu huwezi ku-argue kisiasa mpaka unipe matusi?Wewemawazo na the like ni mburula..wafu wanaotembea
umeandika ukweli sana .Kazi ya Mawazo imetukuka,Mungu mbariki Kamanda Mawazo,Mungu ibariki Chadema
اصصىزششرر
nimekudharau sana ! na nawahurumia sana wazazi wako , wamepata hasara kubwa sana !Wewemawazo na the like ni mburula..wafu wanaotembea
Chadema wamevurungwa sana kila kwenye shughuli zao lazima wamtaje Zitto.
Uhai wa CHADEMA unatokana na Zitto. Kwa sasa wanahaha kumchafua lakini ndo kwanza wanampaisha kisiasa
Naona CCM imekukatisha tamaa kabisa... unataka kuikimbia mapema hivyo?CHADEMA wakifanikiwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini nitaacha kuishabikia CCM. Uchaguzi ujao chadema hawana chao
CHADEMA wakifanikiwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini nitaacha kuishabikia CCM. Uchaguzi ujao chadema
Tunza akiba ya maneno ndugu yangu maana octoba sio mbali