Leo wanafanya mkutano wa hadhara Mecco kaskazini pamoja na uzinduzi wa ofisi, hii ni kwa mjibu wa matangazo yanayoendelea kutangazwa muda huu. Eneo utakapofanyikia ni katika viwanja vya majanini kuanzia saa 8:30 mchana. Madiwani wa chadema watakuwapo pamoja na meya wa jiji la Mwanza ndugu Manyerere. Nawasilisha
The unseen is illustrated by the seen.
asante kwa taarifa,tunaomba na pic muda ukiwadia
Hivi kulikuwa na haja ya kutaja hilo neno kweli? Sidhani kama Mecco ni kubwa kiasi hicho hadi ielezewe kwa pande nne za dira. Anyway, hata sumaku ikining'inizwa ina-point Kaskazini.
Acha uzabizabina wako.Mkutano umeshaanza lakini mahudhurio na F -ve. Hakuna watu wengi labda itakuwa wananchi wameshaanza kuwachoka.
The unseen is illustrated by the seen.
Acha uzabizabina wako.
Acha uzabizabina wako.