Bw. Mushumbusi alisema kuwa kuwa uongozi wa chama mkoa umelazimika kuchukua jukumu la kusimamia kampeni za Bw. Wenje kwa kuwa anapambana na mgombea wa CCM, Bw. Lawrence Masha ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Alipoulizwa kuhusiana na tuhuma hizo, Bw. Okong'o alisema anajiandaa kutoa ufafanuzi juu ya suala hilo pindi atakaporudi kwa vile sasa yupo nje ya mkoa wa Mwanza.