Chadema mwanza vurugu tupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema mwanza vurugu tupu!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kadogoo, Oct 3, 2010.

 1. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  KABLA HATA UCHAGUZI KUFANYIKA CHADEMA WAMESHAANZA KUGOMBANIA MADARAKA!!! HAYA NDIYO KAMA YALE YALIYOWAKUTA NCCR-MAGEUZI!!! HABARI ZAIDI SOMA HAPA: CHADEMA Mkoa wa Mwanza kwafukuta
   
 2. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  hebu tenda haki hata kama umetumwa. mbona hushabikii
  kuenguana kwa ccm na kuweka vichwa vya habari
  "ccm vurugu tupu iringa mjini"? mwaka huu hamfi ila
  cha moto mtakiona.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kama hizo ndizo vurugu basi ziendelee!
   
 4. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hivi ujira wako katika jukumu ulilopewa (au kujipachika) ni kiasi gani?Naona unahangaika huku na kule kujaribu kuichafua chadema.Kashindwa makamba utaweza wewe?
   
 5. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo hakuna ugomvi. CCM ndiko hayo yamezidi...Slaa go ahead
   
 6. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi niko Mwanza, sitaki kuyasoma hayo mauongo yako!! kuna sehemu kama mwanza ambayo inahitaji mabadiliko ya lazima? Hebu kakope akili kidogo tu uweze kuelewa huo ukuu wa wilaya ulioahidiwa si kitu kwa maisha na maendeleo ya watz. Watu wanafanywa watumwa ndani ya nchi yao wewe unashabikia wezi kisa umepewa laki tano sijui ndo milioni.


  Enough is enough, leave our country free. Let everybody be happy with the government siyo sasa kila mtu anaumimi.
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Nukuu ya taarifa hiyo ndiyo kiini cha mapungufu ya habari yenyewe:-

  UNapoona jina la Masha linatajwa ujue habari hiyo inalengo la kuzusha mgogoro ambao haupo hata kidogo. Kama CCM mambo ni hayo hayo inakuwaje Habari Lao inapokuja CCM wanadai mambo ni shwari wamepatanishwa lakini Chadema tu ndiyo kunafukuta?

  Habari Leo hawaandiki kulingana na maadili yao ila wanaandika ili kuchunga ajira zao kwa ni wanajua Chadema ikishinda uongozi wote wa juu utafumuliwa na kupangwa upya...............
   
 8. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Habari leo is never a news paper any more but genge la wahuni! Naongea kwa kujiamini kabisa kwamba katika magazeti yalipoteza dignity yake, basi habari leo limeipoteza kushinda hata magazeti ya RA. Ukitaka habari nyingi za kiudaku zitafute habari leo. Sometimes magazeti ya Ijumaa, uwazi na lete raha yanaweza kuandika vitu vyenye maana zaidi kuliko gazeti la habari leo. If I were in Dar ningeandaa maandamano ya kupinga uwepo wa gazeti hili pamoja na daily news.
   
 9. n

  nyangu New Member

  #9
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huna hoja!!!!
   
 10. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #10
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  laurence kego masha ni hoja inayojitosheleza tena iliyojaa mashiko-huyu ni fisadi ambae kampuni yake ya imma yenye ubia na jk aliyemchomeka mwanae ridhiwahini ili kulinda maslahi yake imma, masha ni mbakaji wa demokrasia ambae jaribio lake la kupora ushindi au kupata ushindi wa mezani lilizimwa bila yeye kupenda, masha ni fisadi aliyejilimbikizia vijisenti vyetu na ndio anavyovitumia kuwatukana watanzania na ku insult their intelgency! Masha ni fisadi ambae anatafuta kujua usiku na mchana wenje anaishi wapi? Il polisi walio chini yake watumwe kumbambikizia kesi kwa either kuwekea madawa ya kulevya! Na wenje amekuwa mwelevu sana kwa hilo! Hiyo ni kwa kifupi tu!

  laurance kego masha-naomba kuwakilisha hoja
   
 11. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Hii issue ina harufu ya ukweli. CHADEMA MZA tunahitaji ufafanuzi tafadhali, msituzingue.
   
 12. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukweli ndiyo huo kuwa Masha anamtafuta Wenje anapoishi ili ambambikie kesi lengo lake la kuwa mgombea pekee litimie. Lakini hakika nawambieni ole wenu mnaoshabikia UFISADI ndani ya nchi hiii, Maana siku si nyingi mtalia na kusaga meno!!!.
   
Loading...