PreGE2025 CHADEMA Musoma Mjini wataka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 baada ya kuipinga "No Reforms No Election"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Wakuu,

Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Musoma mjini kimemtaka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 kwa kupinga kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ na kuidhalilisha kampeni ya tonetone, la sivyo atafutiwa uanachama na kuzuiwa kushiriki jukwaa lolote la chama hicho.

Makada hao wamelaani vikali kauli ya Mwita, kikisema haikubaliki na inakiuka misingi ya mshikamano wa chama

Wanachama
 
kuambiwa ukweli kuna umiza sana moyo.
Ama kweli ukweli mchungu na wajinga ndio waliwao katika kusanyiko la umoja wa ujinga wao 🤣
 
Wakuu,

Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Musoma mjini kimemtaka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 kwa kupinga kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ na kuidhalilisha kampeni ya tonetone, la sivyo atafutiwa uanachama na kuzuiwa kushiriki jukwaa lolote la chama hicho.

Makada hao wamelaani vikali kauli ya Mwita, kikisema haikubaliki na inakiuka misingi ya mshikamano wa chama

Wanachama
Wenye akili kubwa wote wanatishwa CHADEMA
 
Umesahau kuwa Dr. Malisa mumemfuta uanachama kwa kusema ukweli kuwa Samia amepitishwa kuwa mgombea wa kiti cha Urais kimagumashi? Umesahau kuwa Horace Kolimba mlimuua kwa kusema ukweli kuwa CCM imekosaa mwelekeo au ulikuwa bado uko kwenye boxer ya babako?
Itakuwa wewe ni miongoni mwa G55
 
Eeeeh!
Huyu ndio mwenyekiti wa chama cha upinzani sasa.
Sio mwenyekiti hata kovu hauna halafu unakuja na hekaya za NO REFORM NO ELECTION!
 
Wakuu,

Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Musoma mjini kimemtaka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 kwa kupinga kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ na kuidhalilisha kampeni ya tonetone, la sivyo atafutiwa uanachama na kuzuiwa kushiriki jukwaa lolote la chama hicho.

Makada hao wamelaani vikali kauli ya Mwita, kikisema haikubaliki na inakiuka misingi ya mshikamano wa chama

Wanachama
Huo sasa ndio udikteta uchwara
 
Hii ndiyo dawa pekee ya machawa - bado huyo jamaa yake anaitwa Mrema.

Hizo hela zitawatokea sehemu isiyo sahihi.
.
.
 
Back
Top Bottom