CHADEMA mtashinda kwa kishindo Oktoba 2015

elishadad

Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
91
Reaction score
10
Huitaji kufanya hesabu za MAGAZIJUTO kutambua kwamba wana CDM+UKAWA watashinda kwa kishindo oct 25. Nakupa 7bu chache sana zny mashiko.

1. CCM haina mvuto tena kwa vijana, wazee, wasomi na hatata watoto wa primary.

2. Vijana wamejitokeza kujiandikisha kwa wingi na wamehasika kwnd kupiga kura tofauti na miaka ya nyuma. Na hawa ndio hazina kuu ya kura kwa CDM+UKAWA.

3.Kuondoa jina EL kwa fitina na uzandiki tayari i mpacts zake zinaonekana kwa wanachama wa CCM kuhamia CDM, Itawaghalimu.

4. Kauli za kifedhuli na kibazazi zinazotolewa na viongozi waandamizi wa chama. Mfan ccm itashinda hata kwa goli la mkono. Hatari.

Zaidi ya miaka hamsini tanga tupate uhuru hakuna uhuru wa kweli na mabadiliko yenye tija kwa watanzania. Poleni Watanzania.

5. Tabaka kubwa la walionacho na wasionacho hasira zinaongezeka kwa Watanzania. Vigogo wacheche wa ccm wana ukwasi mkubwa ilhali majority ya wa tz ni masikini wa kutupwa.

Kwa mfano watu kuishi kwenye tembe ndo maisha bora hayo mkuu wa kaya?
 
Mkuu point zako zote naziunga mkono mia kwa mia
 
Well said Mkuu... Muda si mrefu Nchi inasimama....
 
Ni kweli safari hii CCM haina chake, hata Magufuli wanayemtanguliza kama kibelenge cha plau ni kazi bure wataanguka naye chali.
 
Haya magamba yalichotufanya nisingetamani kusikia kuna msafi kati yao wakuliongoza taifa ili. Walithubutu kupitisha katiba kibabe...pesa wamebeba matuta...hakuna wa kumuonya mwenzie.....NO...non..hapana....they will not get my vote. Ukawa tupe mgombea haraka.
 
Elshadad, unaamini Jaji Lubuva ana ubavu wa kumtangazia mpinzani kashinda Urais?

Hujiulizi kwa nini pamoja na ahadi ya JK kuwa Katiba mpya ikishindikana iundwe Tume huru ya Uchaguzi, lkn hakuna utekelezaji wa azimio hilo la TCD?

Vv
 
Haya magamba yalichotufanya nisingetamani kusikia kuna msafi kati yao wakuliongoza taifa ili. Walithubutu kupitisha katiba kibabe...pesa wamebeba matuta...hakuna wa kumuonya mwenzie.....NO...non..hapana....they will not get my vote. Ukawa tupe mgombea haraka.

Mkuu hiyo ndiyo dua yetu kubwa,nawapongeza ndugu zetu nyie wahaya naona mmejipanga kisawa sawa kuyaondoa hawa manyonya damu
 
Back
Top Bottom