CHADEMA mtafuneni jongoo tuiondoe CCM

CHADEMA mtafuneni jongoo tuiondoe CCM

mnyama k

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,079
Reaction score
344
Nadhani shida kubwa nikuiondoa CCM na kupanga mipango ya maendeleo katika nchi yetu.

Kama UKAWA kuna tatizo jongoo lipo mezani !. Mchukueni Lowassa tupige kazi kiulaini.
 
ukawa mchukueni lowasa mpoteze imani mliyoaminiwa na watanzania kwa kupigana na rushwa na ufisadi.mtasambaratika na kubaki historia..
 
ukawa mchukueni lowasa mpoteze imani mliyoaminiwa na watanzania kwa kupigana na rushwa na ufisadi.mtasambaratika na kubaki historia..

Panapo shida mfupa nyama. Inaweza kuwa njia rahisi ya kupata kura nyingine nyingi za team lowasa zikarahisisha kuiondoa ccm.

Kumbuka atakapokuwa chadema au Ukawa, atakuwa katika team maendeleo ya taifa, na sio team mafisadi.

Kazizake na maamuziyake yatatokana na ushauri kutoka kwa watu wenye mtazamo wa kujenga nchi katika usawa haki na amani ya kweli.
 
Solution ni CUF na CHADEMA wote kuuwa vyama vyao na kuhamia ACT WAZALENDO
 
Size ya LOWASSA ni huko uchaggani, mchukueni ila mjue rais wa Watanzania wote ni Maghufuli.
 
Hvi huyu mamvi anachokomalia urais ni nni???
Mambo yote kwa magufuli sa hvi mana hata wapambe wake wameshamsaliti
 
Lowassa atulie tu, ukawa hawamuhitaji.

Mkuu hapa kinachotakiwa nikuangalia namba, kama namba zinakubali siodhambi kumchukua huyu mamvi.

Ukawa wakipiga hesabu wakaona inafaa kumchukua kwaajili ya kuongeza majority wasiaite nimbinu za ushinditu, na siombaya.

I will vote for them.
 
Ila siyo kupewa nafasi ya kugombea Urais.
 
Ila siyo kupewa nafasi ya kugombea Urais.

Nafasi nyingine, kwaanavyoonekana hata kubali.Anajiona anastahili kuwa rais that's the problem, nahicho ndicho kitakacho mshawishi kuhama ccm otherwise ataamua kufa na tai shingoni.

Kinachoonekana sasa ni watu kuweka mbele madaraka kuliko lengo halisi linalo hubiriwa kila siku, kuwango'a magamba kwanza then mambo mengine yafuate.

Kwamtazamo wangu ikiwezekana wampenafasi ilikuongeza namba kama nilivyo sema mwanzo kwakua anaonekana anawatu wengi nyumayake.

Fursa.
 
Hatujamsati lowassa toko hoi kwa kile kilichotokea akuna anayeamini chama chetu kimefika mwisho ombi langu kwa kwa mtanzania akikisha mbunge wako atoki ccm asanteni wasilindane tena
 
Back
Top Bottom