Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Atalikumbuka wapi wakati ndiyo kwanza alikuwepo kijijini koromitje hata neno smartphone halijuiHivi wakati Sofia Simba, Jesca Msavatavangu na Membe wanafukuzwa CCM swali Hilo hukulikumbuka?

Rushwa nia adui wa haki na forgery kwa mujibu wa sheria za nchi ni kosa kisheria na kifungo chake hakipunguwi miaka saba siasa wamefoji wabunge wa kutoka chadema bila ridha ya chama na wewe unajitahidi kufoji uongo kuwa ukweli kwa kutumia taaluma yako feki.Lazima kuwe na sababu na kipi kimepeleka chama kufikia hapo.lakini chadema kutopenda kutoa sababu wakati wa kutokea mipasuko
Mkuu nakubaliana na hoja yako ila nirekebishe kidogo kwamba Dr Slaa hakufukuzwa ccm bali aliondoka baada ya kukatwa kwenye kura za maoni ubunge wa Karatu,Wabunge wa G55 hakuna aliyefukuzwa ila tu azimio la bunge la kuanzzisha serikali ya Tanganyika ndo halikutekelezwaDr Slaa alifukuzwa ccm,ccm haikufa,Lowasa,sumaye walifukuzwa ccm,ccm haikufa,kafukuzwa Membe ccm
Haikufa.alifukuzwa Bibi Titi.Ccm ilishawahi kufukuza wabunge 55,G55,waliokuwa wanadai serikali ya Tanganyika.
Mambo yakawaida haya,
Jambo la kujadili hapa ni ujambazi unaoendelea sasa hv,kila sekta Kuna wizi mtupu,
Nidhamu na mapambano zinatengamana. Hakuna nidhamu hakuna mapambano.CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA
Kamati Kuu ya CHADEMA hivi Karibuni imetangaza kuwavua nafasi za Uongozi na Uanachama Wabunge wake Viti maalum (19) kwa tuhuma za usaliti dhidi ya chama kwamba waliamua kwenda kuapa bila kupata bila Baraka za chama.
Orodha ya Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliofukuzwa kwa kisingizio cha kusaliti chama ni Ndefu mno kuanzia kwa Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba, David Silinde, Anthony Komu na Wilfred Rwakatare na sasa Halima na Wenzake (18)
Swali la kujiuliza ni CHADEMA itafukuza wangapi? busara inaitaka CHADEMA kutazama inapojikwaa sio inapoangukia! Kama inaamini wanachama na viongozi ni wasaliti, kinapaswa kujiuliza kwanini kinasalitiwa?
Ukitazama kwa jicho la tatu, fukaza fukaza ya wanachama na viongozi ndani ya CHADEMA ni matokeo ya kukosekana kwa Demokrasia ya Ndani, Uzalendo na Udikteta wa Mwenyekiti wa milele wa chama hicho FREEMAN MBOWE.
Miongoni mwa Wanachama waliofukuzwa kwa sababu ya kukosekana kwa Demokrasia ndani ya CHADEMA ni Zitto ambae umma ulidanganywa alifukuzwa kwa kukisaliti chama, ukweli ni kwamba alifukuzwa baada ya kuonesha dhamira ya dhati ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa chama hicho hivyo kabla hajatimiza azma yake akashughulikiwa.
Kufukuzwa kwa Mdee na Wenzake ni uthibitisho wa kukosekana kwa Uzalendo, ubinafsi sanjari na mfumo dume ndani ya CHADEMA, Mbowe na Kamati Kuu iliyosheheni Wanaume, baada ya kukosa ubunge imeamua kuwaadhibu wabunge hao kwa kuwafukuza, yaani ‘Bora wakose wote’
Tathmini ya Mapambano dhidi ya ukatili wa wanawake kwa upande wa vyama siasa nchini CCM imekuwa kinara ikilinganishwa na upinzani, imechukua hatua madhubuti kwa kuwapa nafasi mbalimbali za uongozi wa kitaifa mathalani imemteua Naibu Spika na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Wanamke ambao ni Tulia Ackson na Samia Suluhu mtawalia.
Kwa kuzingatia Tanzania ni nchi ya Demokrasia ya vyama vingi, inahitaji vyama vya upinzani imara vinavyoweza kutoa mchango katika kuleta maendeleo, ni kiu ya wapenda Demokrasia kuona CHADEMA inatumia muda mwingi kushughulikia kiini cha matatizo yanayokikabili hasa ya kukosekana kwa Demokrasiaya ndani, Uzalendo, Mfumo dume na ubinfsi ili kiweze kutimiza wajibu wake wa kikatiba.
Mbona mnawashwa washwa sana.. kila mtua na chama chake.. ya chadema yana wahusu nini aiseeCHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA

UtopolooooCHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA

Kwani ubora wa chama nikutofukuza wanachama wake,CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA

Hata chama kikifukuza wote, sawa tu.... ni heri wanachama 2 waadilifu wenye kukifia chama, kuliko 19 wasiojielewa, wala kuelewa nini wanakipigania.CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA

Chadema ni wasanii,wamefukuza 19 viti maalum,wameacha mmoja ambaye kachaguliwa katika uchaguzi ambao hawautambui
manyumbu yanashindwa kuhoji hili
Mtoa hoja usanii upo ccm kuanzia uchaguzi mkuu na sakata hili la wabunge ila kwa vile akili yako haijakomaa utanguliza kejeli utafikiri unamkomoa mtoa mawazo mwenzio aliyechimba shimo alitumbukia mwenyewe bila kujijua.Chadema ni wasanii,wamefukuza 19 viti maalum,wameacha mmoja ambaye kachaguliwa katika uchaguzi ambao hawautambui
manyumbu yanashindwa kuhoji hili
ANZISHA CHAMA UWAITE HAO WOTE UNAOWAPENDA. SIYO LAZIMA KILA MTU AWE CHADEMA. TANZANIA NI YA VYAMA VINGI. UKIONA CHAMA FULANI HAKIFAI WALA HUPASWI KUUMIZA KICHWA AU KULETA FIGISU, WEWE ONDOKA TU UKAJIUNGE NA CHAMA UKIPENDACHO AU UANZISHE CHAMA CHAKO.CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA
Kamati Kuu ya CHADEMA hivi Karibuni imetangaza kuwavua nafasi za Uongozi na Uanachama Wabunge wake Viti maalum (19) kwa tuhuma za usaliti dhidi ya chama kwamba waliamua kwenda kuapa bila kupata bila Baraka za chama.
Orodha ya Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliofukuzwa kwa kisingizio cha kusaliti chama ni Ndefu mno kuanzia kwa Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba, David Silinde, Anthony Komu na Wilfred Rwakatare na sasa Halima na Wenzake (18)
Swali la kujiuliza ni CHADEMA itafukuza wangapi? busara inaitaka CHADEMA kutazama inapojikwaa sio inapoangukia! Kama inaamini wanachama na viongozi ni wasaliti, kinapaswa kujiuliza kwanini kinasalitiwa?
Ukitazama kwa jicho la tatu, fukaza fukaza ya wanachama na viongozi ndani ya CHADEMA ni matokeo ya kukosekana kwa Demokrasia ya Ndani, Uzalendo na Udikteta wa Mwenyekiti wa milele wa chama hicho FREEMAN MBOWE.
Miongoni mwa Wanachama waliofukuzwa kwa sababu ya kukosekana kwa Demokrasia ndani ya CHADEMA ni Zitto ambae umma ulidanganywa alifukuzwa kwa kukisaliti chama, ukweli ni kwamba alifukuzwa baada ya kuonesha dhamira ya dhati ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa chama hicho hivyo kabla hajatimiza azma yake akashughulikiwa.
Kufukuzwa kwa Mdee na Wenzake ni uthibitisho wa kukosekana kwa Uzalendo, ubinafsi sanjari na mfumo dume ndani ya CHADEMA, Mbowe na Kamati Kuu iliyosheheni Wanaume, baada ya kukosa ubunge imeamua kuwaadhibu wabunge hao kwa kuwafukuza, yaani ‘Bora wakose wote’
Tathmini ya Mapambano dhidi ya ukatili wa wanawake kwa upande wa vyama siasa nchini CCM imekuwa kinara ikilinganishwa na upinzani, imechukua hatua madhubuti kwa kuwapa nafasi mbalimbali za uongozi wa kitaifa mathalani imemteua Naibu Spika na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Wanamke ambao ni Tulia Ackson na Samia Suluhu mtawalia.
Kwa kuzingatia Tanzania ni nchi ya Demokrasia ya vyama vingi, inahitaji vyama vya upinzani imara vinavyoweza kutoa mchango katika kuleta maendeleo, ni kiu ya wapenda Demokrasia kuona CHADEMA inatumia muda mwingi kushughulikia kiini cha matatizo yanayokikabili hasa ya kukosekana kwa Demokrasiaya ndani, Uzalendo, Mfumo dume na ubinfsi ili kiweze kutimiza wajibu wake wa kikatiba.
Haya kesi ngapi ziko mahakamani kudai haki ya kuibiwa?????.Please give us a breath tumechoka hii maneno yenu .2015 mlidai faulo but mlienda mahakamani this time around mko mahakama ya JF it now monotonous. Chadema hamuelewiki bhana.Chadema hawajajikwaa, wamechezewa rafu mbaya sana, refa kapiga filimbi na faulo imeamuliwa iende golini kwao
Walitoa sababu na wakaomba muda hiyo ya kuomba muda mlizingatia??? Mnalaumu kukanyagwa katiba ya nchi lakini mnaona sawa kusiginwa katiba ya chadema. Duu SACCoS sheeedaSababu iko wazi acha kuandika propaganda.Chama hakitambui matokeo ya uchaguzi na msimamo ni kutoshirikiana na waliovuruga uchaguzi, chama hakijapeleka majina ya wabunge wa viti maalum .Halima na wenzake wamekaidi msimamo na kujipeleka kuapishwa na spika wa bunge lililotokana na uchaguzi uliolalamikiwa.
Kamati kuu ikawaita ili iwasikilize kwanini walikiuka misimamo ya chama wao wakakataa kuitikia wito.Ungeshauri chama kifanye nini zaidi ya kuwatimua?
Kama hivyo ndivyo basi usiinange Chadema ,kufukuza kuko vyama vyote na hakujaanza leo.Mwaka 1968,TANU ilifukuza wabunge kadhaa akiwemo Eli Anangisye mbunge wa Rungwe,Mwakitwange,Bakampenja na Dr.Fortunatus Masha babake Laurence Kego Masha, CCM iliwqfukuza Maalim Seif Sharif Hamad, Shaaban Hamis Mloo na wenzao akina Machano Hamis.
Miaka michache iloyopita iliyopita walifukuzwa Mansoor Yusuf Himid na Marehem Hassan Nassoro Moyo. Cuf ilimfukuza James Mapalala,CCM mwaka huu ilimfukuza Benard Membe,ilishamfukuza Sophia Simba nk.Mwanachama asiye tii mamlaka ni lazima ashughulikiwe.
Ikibidi woote tutawafukuza na tupo tayari ofisi zetu tufugie kuku wenye kutupatia faida kuliko kuwa na watu wenye tamaa ya madaraka kama hawa mnaowarubuni kila siku.
Walitoa sababu na wakaomba muda hiyo ya kuomba muda mlizingatia??? Mnalaumu kukanyagwa katiba ya nchi lakini mnaona sawa kusiginwa katiba ya chadema. Duu SACCoS sheeeda