Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
- Thread starter
-
- #61
Vetting haifanywi kwa watu wa ndani pekee hata watu wa nje huwa wanafanyiwa vetting pengine bila wao kujua, kwa hiyo hao kina Lowassa, Mwakyembe na wengine public figures ambao matendo yao yanajulikana si lazima kwanza waingie Chadema ndipo wafanyiwe vetting wanaweza kukubaliwa au kukataliwa wangali wakiwa nje ya Chadema.
Nafikiri kuna kutoelewana, mimi nimejibu statement yako kuwa akina Lowassa, Magufuri, Mwakyembe wakigonga milango ya Chadema hawatafunguliwa? nikasema hao hawahitaji vetting maana matendo yao yanajulikana wazi, huwezi kuweka vikao vya vetting kwa mtu kama Mwigulu uone kama anafaa kuwa kiongozi wa Chadema ama la. Labda kama sielewi maana ya vetting unayoijua wewe, na kufanya vetting ya mtu wa nje anayetaka kuingia iwe kazini si kwamba unasafisha nje.Mkuu, Hujaelewa point yangu.
Kwa mtu mwenye uelewa mzuri na good judgement sidhani kama anaweza kuanza kusafisha kwanza nje ya nyumba badala ya kuanzia ndani na huku akihakikisha kuwa hakuna vyanzo vya uchafu ndani ya nyumba yake.
Hii ndiyo hoja yangu ambayo najaribu kuiweka katika mtazamo wa political laymen kwa uelewa zaidi.
Highlander lengo la Ng'wamapalala ni kutaka kutuaminisha kuwa eti ndani ya Chadema hakuna vetting mechanism, kama hakuna vetting mechanism mbona wanahangaika na viongozi waliopo leo walioingia bila vetting?Mkuu Feedback mimi ninapata mashaka pia kuwamba Ng'wamapalala kaingiza issue ya vetting kwa nia ya kuhamishia somo kwenye hofu. Mbowe anataka kuwaondoa watu hofu, yeye Ng'wamapalala anaingiza hofu. A clever detraction it seems to me.
Highlander lengo la Ng'wamapalala ni kutaka kutuaminisha kuwa eti ndani ya Chadema hakuna vetting mechanism, kama hakuna vetting mechanism mbona wanahangaika na viongozi waliopo leo walioingia bila vetting?
Kwanza nimfahamishe Ng'wamapalala vetting processes hazifanani inategemea institute inataka mtu wa aina gani na watampata kwa njia gani, iwe kwa kumfuata kumshawishi au kwa kutangaza kwenye vyombo vya habari au kwa mtu mwenyewe ku-volunteer.
Are you sure this is not too accademic? and less practical?
Tatizo lako ninaloliona unajenga hoja kinadharia badala ya uharisia uliopo ndani ya vyama vya siasa Tanzania.Nafikiri kuna kutoelewana, mimi nimejibu statement yako kuwa akina Lowassa, Magufuri, Mwakyembe wakigonga milango ya Chadema hawatafunguliwa? nikasema hao hawahitaji vetting maana matendo yao yanajulikana wazi, huwezi kuweka vikao vya vetting kwa mtu kama Mwigulu uone kama anafaa kuwa kiongozi wa Chadema ama la. Labda kama sielewi maana ya vetting unayoijua wewe, na kufanya vetting ya mtu wa nje anayetaka kuingia iwe kazini si kwamba unasafisha nje.
Mbona hatujawahi kusoma humu jamvini mdau wa CHADEMA kapost thread ya Mbowe kuwakanusha wale waliokuwa wanawaita magamba wote wezi?! Leta ushahidi wa kauli ya Mbowe kuwaasa kuwa magamba wote si weziLet me get this right: Freeman Mbowe ndiye alisema hayo humu jamvini? Mbowe alisema humu jamvini kwamba eti magamba wooote ni wezi? alisema hivyo lini? weka link hapa nione....
Ok i take your word tukubali kutokubaliana ila next time uwe unatoa mifano unayoijua vizuri ya Chadema huijui, tunataka utuambie vetting ya viti maalumu yenu ilikuwaje nasikia Sophia Simba aligeuka Matumla, pia muulize Salim A Salim ni muathirika wa vetting mechanism ya CCM.Tatizo lako ninaloliona unajenga hoja kinadharia badala ya uharisia uliopo ndani ya vyama vya siasa Tanzania.
Kwa siasa za Tanzania, neno political vetting ni rahisi sana kulisema lakini kuliweka kwenye vitendo ni almost impossible kwa sababu vyama havijawa na mazingira ya mechanism inayofanya kazi firmly and fairness.
Matendo ya mwanasiasa ni sehemu ndogo sana katika process ya political vetting kwa faida ya chama leo, kesho na kesho kutwa.
Mfano halisi upo ambapo CHADEMA walijaribu political vetting kwenye viti maalum vya ubunge na matokeo yake wote wenye kufuatilia mambo ya siasa wanayafahamu. Hilo lilikuwa ni zoezi la section ya viongozi. Vipi kwenye uanachama na uongozi Tanzania yote wakati chama kiko kwenye political demand.
Matatizo ya makundi tunayoyaona kwa sasa ndani ya CCM yamesababishwa kwa kiasi kikubwa na political vetting.
Anyway, tukubali kutokubaliana.
Kwani kuna bango limewekwa kwenye nyuso za kila mtu anayetaka kujiunga CHADEMA kutokea CCM.
Kuna mechanism gani in place ndani ya CHADEMA kupima na kumfahamu kila anayependa kujiunga na kuwa mwanachama wa CHADEMA.
Kama chama mpaka sasa hakifahamu kina wanachama hai na wafu wangapi, wataweza vetting ya wanaotaka kujiunga na chama kuanzia vijijini mpaka mijini huku kila siku wanagawa kadi kama njugu kwenye mikutano ya hadhara.
Siasa za bongo bana. Why can't you stick to what you do best.
Ninawapongeza wanasiasa wa Tanzania katika uwezo wa political dotting and dabbing around ili kesho ukiwauliza wanakwambia "Nilisha tamka mapema. Nilifahamu hili jambo litatokea" wakati action ni zero.
Ok i take your word tukubali kutokubaliana ila next time uwe unatoa mifano unayoijua vizuri ya Chadema huijui, tunataka utuambie vetting ya viti maalumu yenu ilikuwaje nasikia Sophia Simba aligeuka Matumla, pia muulize Salim A Salim ni muathirika wa vetting mechanism ya CCM.
Jaribu kuhama chama chako na uende chadema utajua ukweli au muulize Shibuda
Mbona hatujawahi kusoma humu jamvini mdau wa CHADEMA kapost thread ya Mbowe kuwakanusha wale waliokuwa wanawaita magamba wote wezi?! Leta ushahidi wa kauli ya Mbowe kuwaasa kuwa magamba wote si wezi
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
kunatofauti kubwa sana kati ya neno kuwapokea na neno kuwapa madaraka,tafakari mada kabla hujakurupuka kujibuIkumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
no...amuulize Dr. slaa. mbona unakosa objectivity hivyo?
Highlander lengo la Ng'wamapalala ni kutaka kutuaminisha kuwa eti ndani ya Chadema hakuna vetting mechanism, kama hakuna vetting mechanism mbona wanahangaika na viongozi waliopo leo walioingia bila vetting?
CCM wamebakiza pet politics za kujifurahisha mitandaoni.hii nimeipenda. imekaa vizuri sana hii.... kuna siku nilimsoma mmoja anaitisha kadi ya ccm ya Dr. Slaa. ha ha ha....