Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
labda alimaanisha wahamiaji kutoka nchi nyingine za nje na wewe ukadhani ni kutoka vyama vingine
Mmeisoma mada au mmekurupuka tuu
Yaani wewe IDIOT unajiona umeielewa vizuri mada kuliko aliyeanzisha thread!!!
Yaani wewe IDIOT unajiona umeielewa vizuri mada kuliko aliyeanzisha thread!!!
Yaani wewe IDIOT unajiona umeielewa vizuri mada kuliko aliyeanzisha thread!!!
Utakuwa na kisirani hasira na maandishi ya keyboard ukimuona mtu halisi itakuwaje? kama ndivyo wewe na mwenzio mwenye thread ndivyo mnavyoelewana sio wote ujue tuko hivyo!!.
Hivi wewe kenge huwa unapata hata muda wa kuoga kweli! Maana naona unataka kufia kwenye mitandao!Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
Kwani kuna bango limewekwa kwenye nyuso za kila mtu anayetaka kujiunga CHADEMA kutokea CCM.
Kuna mechanism gani in place ndani ya CHADEMA kupima na kumfahamu kila anayependa kujiunga na kuwa mwanachama wa CHADEMA.
Kama chama mpaka sasa hakifahamu kina wanachama hai na wafu wangapi, wataweza vetting ya wanaotaka kujiunga na chama kuanzia vijijini mpaka mijini huku kila siku wanagawa kadi kama njugu kwenye mikutano ya hadhara.
Siasa za bongo bana. Why can't you stick to what you do best.
Ninawapongeza wanasiasa wa Tanzania katika uwezo wa political dotting and dabbing around ili kesho ukiwauliza wanakwambia "Nilisha tamka mapema. Nilifahamu hili jambo litatokea" wakati action ni zero.
Mkuu, Huku kwetu Kijijini Bariadi bado ni mchana.Nadhani bado unausingiz, ulichoandika ni Mashudu na hakieleweki.
ZeMarcopolo, jana nilikusikia ukilalamika kuwa BAVICHA hasa ndo waliobobea matusi. Hiyo IDIOT mbona imekaa kimatusimatusi hivi. Au ndo Ushajiunga BAVICHA?
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
Ikumbukwe kuwa huyuhuyu Mbowe ndiye alisema wahamiaji wasipewe madaraka, leo anasema wasitengwe. Maamuzi ndani ya briefcase ya Mbowe...
Mbowe inabidi abadilike sasa aachane na Mikutano ya Hadhara kwani Watanzania wengi sasa wameshaelewa chanzo cha umaskini wao ni nini,Wanajua ufisadi unaoendelea hapa Nchini unaofanywa na MaCCM.Anachotakiwa kufanya sasa ni ku-channel financial resources zaidi katika Maofisi ya Mikoani na Wilayani,Kwenye Tarafa hata Kata na Vijiji,Wazitumie hizo ofisi kubuni miradi ya kimaendeleo wakishirikiana na Wananchi wa maeneo hayo,Wazitumie hizi ofisi katika kunadi Sera na Mawazo ya Chama na namna Chama kilivyojiandaa kuchukua Nchi.Nchi ina changamoto nyingi mno za kijamii,kiuchumi na za kiusalama na inaonekana kabisa CCM wameshindwa kukabiliana na hizi changamoto,Sasa ni juu ya CHADEMA kuanza kuwaambia Watanzania namna walivyojiandaa kukabiliana nazo.Ni vizuri Watanzania wakaanza kuijua CHADEMA kiundani zaidi kupitia hivi vitu watakapokipenda hawatarudi nyuma tena.Pia ni muhimu kwa CHADEMA kuziimarisha ofisi za Mikoani ili kiweze kujenga mtandao mpana wa Kichama utakaosaidia CHADEMA kushinda katika Chaguzi mbalimbali.