CHADEMA msishiriki uchaguzi jimbo la Chalinze

RedArmy

Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Nawaombeni sana viongozi wa juu chadema waamue kukitoa chama chao katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la chalinze.sababu ni kuwa wakimweka mgombea wao sijui ataweza vipi kushindana na mtoto wa rais,kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama,mteuzi wa viongozi wote wa takukuru,tume ya uchaguzi nk.ikiwa chaguzi zingine za ubunge zilikuwa na udanganyifu na wizi wa kura sembuse huu wa mtoto wa rais?naomba msipoteze pesa na muda wenu.nani leo katika ccm,polisi,Nec wapo tayari kuona ridhwani anaaguka?haki haitotendeka.huo ndio ukweli unaotokana na matukio mbalimbali yaliyowahi kutokea katika chaguzi mbalimbali.
 
Hakuna dhambi mbaya kama woga; acha woga; usikubali kushindwa kabla hujashindana!! Chalinze ndio mahala pa kwenda na pia nafurahi mchakato wa kupata mgombea umeshaanza; Lazima CDM iende Chalinze ili CCM na waswahili wote kule Pwani wapate a taste of what CDM is made of; pale pale kwenye home turf ya JK mwenyewe; ambayo ni strong hold ya CCM kwa sababu pekee kwamba JK anatoka pale na watu wake wasingependa kuonekana wamemuangusha mtoto wao! CDM tunasema Haijalishi! tutawasha moto pale uswahilini!
Go Go Go CHADEMA; Hatuna cha kupoteza ila kuuvua unyonge wetu!!!
 
Only cowards have these ideads
 
Na zile kata 26 za udiwani aligombea mtoto wa rais.
 
Back
Top Bottom