technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,842
Gwajima ametumwa kupoza uji ambao umemuunguza midomo boss wake tushamjua na atachezea blacklistNaongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu.
Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe.
Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho kukimbilia CCM.
Mkiwapokea msiwape nafasi kamati kuu, kugombea ubunge, udiwani au urais!!
Wakae watagombea 2030 wengi wao ni mamluki tu na matapeli.!
Gwajiboy ni puppet don't trust him anymoreNaongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu.
Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe.
Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho kukimbilia CCM.
Mkiwapokea msiwape nafasi kamati kuu, kugombea ubunge, udiwani au urais!!
Wakae watagombea 2030 wengi wao ni mamluki tu na matapeli.!
Gwajima ametumwa kupoza uji ambao umemuunguza midomo boss wake tushamjua na atachezea blacklist
Si kirahis kama unavyo dhani, haitokaa itokee hata gwajima hana interest hizoNaongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu.
Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe.
Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho kukimbilia CCM.
Mkiwapokea msiwape nafasi kamati kuu, kugombea ubunge, udiwani au urais!!
Wakae watagombea 2030 wengi wao ni mamluki tu na matapeli.!
No Reforms No ElectionNaongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu.
Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe.
Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho kukimbilia CCM.
Mkiwapokea msiwape nafasi kamati kuu, kugombea ubunge, udiwani au urais!!
Wakae watagombea 2030 wengi wao ni mamluki tu na matapeli.!
Sawa jimy Mafufu msemaji wa Samia😂Sasa hv chadema wote wanamuunga mkono gwajima, kucheza na akili za watu wa chadema ni rahisi mno
Ungesema CHAUMMA mkuu Chadema hawashiriki uchaguzi wenuNaongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu.
Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe.
Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho kukimbilia CCM.
Mkiwapokea msiwape nafasi kamati kuu, kugombea ubunge, udiwani au urais!!
Wakae watagombea 2030 wengi wao ni mamluki tu na matapeli.!
Urais gani wakati CHADEMA hawashiriki na hawajsaini maadili na Lissu yuko jela kwa kesi ya kunyongwa??Naongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu.