Inabidi CHADEMA wamtumie sms ya nguvu (bold) Spika Makinda kuwa ama ahakikishe kuna muda ya kujadili hii issue ya rada kwenye kikao hiki cha bunge, au CHADEMA wataleta hoja hiyo kwenye bunge la wananchi huku uraiani. Lakini wakubali zomeazome kama hakuna mjadala Dodoma. Tumechoka na tactics za kitoto toka kwa huyu Spika.