CHADEMA msijifiche kwa Lipumba

Hao Lumumba waliomsajili Lupyee wamelamba galasa. Nadhani hajaenda shule. Soon Lumumba watamtumbua, kwa kuwa amekariri maneno yale yale kamakasuku. Hajui kujenga hoja kabisa.
Yaani JF imevamiwa na hawa watu hawajui hata kujenga hoja!Ni ushabiki na ukanjanja tu
 
Ila hapa kuna ukweli,kama lowassa aliotwa fisadi na akapokelewa kwanini lipumba asipokelewe?hivi vyama hovyo sana vikiongozwa na cccm.
 
Hao Watumishi wa Mungu Kama Wange Kuwa Wanasingiziwa Si Wangeshatoa Tamko la Kukana Kuhusishwa na CHADEMA?Mbona Wako Kimya?
 
Hao Watumishi wa Mungu Kama Wange Kuwa Wanasingiziwa Si Wangeshatoa Tamko la Kukana Kuhusishwa na CHADEMA?Mbona Wako Kimya?

Achana nao hao wanaoandika mambo kwa kusukumwa na mingurumo ya tumbo badala ya ubongo. Swali makini sana hilo, kama viongozi wa dini wanasingiziwa kwanini wasikanushe kuwa hawahisiki?
Ni roho za kishetani tuu zinawasumbua
 
Yale ya mwaka jana kwamba ACT ingempokea fisadi Lowassa ni moja ya mambo yaliyonifanya niichukie sana ACT.
 
nafungua kesi mahakamani kwa kunitukana mimi mwanachama hai wa chadema, nitafika tcra kesho nikiambatanisha na tusi ulilonitukana mimi mwanachama hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…