Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kweli wanachama na wafuasi wa CHADEMA wana sahau. Baada ya kufeli na kubomoka kwa UKUTA sasa wametunga uongo kuwa Prof. Lipumba amejiunga na ACT- Wazalendo.
CHADEMA hawa hawa wamesahau kuwa mwaka jana 2015 walisema fisadi Lowassa atajiunga na ACT-Wazalendo. Leo wamesahau waliyosema mwaka jana juu ya Lowassa kujiunga na ACT-Wazalendo. Wanachotaka ni kutusahaulisha suala la kufeli na kubomoka kwa UKUTA.
Wamedanganya kuwa waliombwa na viongozi wa dini ili wafanye mazungumzo na Serikali. Ukiwauliza, mbona hatukuona hicho kikao cha CHADEMA na viongozi wa dini?
Je; Mwenyekiti wa kidini na wajumbe wa kidini ni akina nani wanaosimamia majadiliano hayo.
Kweli wanachama na wafuasi wa CHADEMA wana ubongo wa kuku.