Hawathubutu kususia.Wana njaa kali sana.Magufuli aliwadhoofisha sana.Huoni ruzuku wanachukua na kuifanyia anasa.Lakini wanatutaka tuwachangie kwa ajili ya kugharamia mikutano yao ya hadhara.
Kwanini chadema na sio wenyenchi ni wananchi tutoe maoni, kwani tume huru ni mali ya chadema au wanasiasa?akili zenu zinawaza chadema wananchi unachukuliaje?
Hiki chama nacho ni susa susa tatizo na huyu bibi anataka kuwafanya last born ndo maana wanavimba vichwa. Walisema hawakitambui kikosi kazi na mambo yake yote leo wanasema maoni yalishatolewa na kikosi kazi.
Hawathubutu kususia.Wana njaa kali sana.Magufuli aliwadhoofisha sana.Huoni ruzuku wanachukua na kuifanyia anasa.Lakini wanatutaka tuwachangie kwa ajili ya kugharamia mikutano yao ya hadhara.