CHADEMA msiige Tembo

WaTanganyika ni woga ile mbaya ,vita vya Uganda WaPemba ndio waliokuwa mstari wa mbele.Kama si WaZanzibari vita ile tungepoteza.


wapemba au wazanzibari? inaonekana ww ubaguzi umekuganda nyayoni, huna mpya una upupu
 

pale mwana ccm anapoleta ushabiki kwenye mambo ya kitaifa inabidi nimpe kubwa sababu hali ni mbaya afu unaona jitu linaleta ushabiki wakati mijini na vijijini watu wanataabika!
 
What you have proved? Una elimu duni!
Why? Rais wa Tanzania anaweza akatawala vizuri tu wakati Pemba kuna machafuko. Lakini Rais wa Tanzania hawezi kutawala Tanzania kama Arusha kuna machafuko!
Reference: Kasome Northern Corridor, Ukanda wa Ziwa, na The Big FOUr. Any president who dares disturb these areas, then he is doomed to fail. Hawezi kutawala.
What CUF has influence over Tanzania? Arusha very important Area, Mwanza back born for all mining activities, Big FOUR - all food you eat comes from there and more than half of Hydropower comes from there; and you know what? Chadema commands all these areas.
What is Pemba and CUF??
 
Mwiba! Unaonekana Mpemba hodari!! Kaza buti kaza buti,hivi Tanganyika bila Pemba haiwezekani? Umesahau mapinduzi ya Wazanzibar January 12,1964 yalifanywa na nani,KARUME alikuwa anakunywa kahawa wapi? Tehe~tehe~teheeee!
 
Just to let you know that you are now Officially under My Ignore List!!
 
Mwiba! Unaonekana Mpemba hodari!! Kaza buti kaza buti,hivi Tanganyika bila Pemba haiwezekani? Umesahau mapinduzi ya Wazanzibar January 12,1964 yalifanywa na nani,KARUME alikuwa anakunywa kahawa wapi? Tehe~tehe~teheeee!

Hapa tunazungumzia Tanzania ,Chadema mambo hamuyawezi ,nguvu zenu ni za bure tu,maana hamna msimamo wa ukweli,mambo yote mnayataka na kama mjuavyo mtaka yote hukosa yote.

Chadema ni ndumila kuwili ,kama nyie ni wapinzani wa kweli basi mlitakiwa muisimamie mitazamo yenu kikweli,toka bungeni,mkataeni raisi ,pinga mambu yote ya serikali hata yawe ya ukweli,ni kupinga tu.

Chadema mmeshindwa au hamkujiandaa iwapo polisi wangeingilia maandamano,ndio kisa mkasambaratishwa ,siku nyingine inatakiwa mujiandae kiume kama kule Pemba ,jamaaa wa Kipemba walijiandaa tena walijiandaa kimahesabu .maana vituo vyote vya polisi vilikwisha pangiwa mikakati na ilitekelezwaa,na ndio sababu ya polisi kuzidiwa na kuomba msaada wa mahelkopta kutoka makao makuu na kuongezewa polisi ,hapo ilikuwa vituo kibao vimeshatekwa,nyie habari ya Pemba inautamu wake na ndio hadi hii leo polisi wameingia adabu kule Pemba kilichowafika hakijawahi kutokea hapa Tanzania Bara.
 
Mwiba nakufahamu vizuri sana, wewe unamasters ya sociology uliyoipata kiaina. Wakati wewe upo zoology pale mlimani, UDSM ukifanya field serengeti mimi nilikuwa computer science, P.hD. unakumbuka nilisha kupa offa pale engineering lunch 2003 august??/ Reasoning ability yako ndogo sana. Ila uwe sociologist sio unafanya arguments kama mkulima wa vitunguu mang'ola.
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::A S-confused1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…