CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!


kama kasema hivyo basi itakuwa ni miongoni wa kauli zinazotolewa na viongozi wa siasa wanadhani kuwa wananchi wa tanzania hawana akili ya kutosha kuchambua mambo. Hivi kweli hata kama chadema ina urafiki wa kisiasa na chama kinachotawala uingereza basi ina maana chadema inaendesha sera za chama hicho hapa tanzania.

Kwanza sera ya ushoga sio sera ya chama cha kinachotawala uingereza bali ni sera ya nchi ya uingereza kuwa ujumla na pia sera hii ipo kwenye nchi nyingine nyingi tu za ulaya na marekani ambazo serikali ya tanzania inashirikiana nazo kwenye mambo mbali mbali ikiwemo kupata misaada ya kifedha.

Ni jambo la kawaida kwa mtu hasiyekunywa pombe kuwa na marafiki wanaokunywa pombe. Hili halimfanyi na yeye kunywa pombe.

Hata hapa Tanzania sasa hivi kuwa mashoga (ndio maana kuna mjadala wa kuhalalisha ushoga au la) na wana marafiki wa kawaida ambao sio mashoga.
 
Dawa ni kuhamia katika hilo jimbo alilotoka, mpaka akimbie.
 
Ni vizuri mkamwacha (CHEMBA) abwate bwate tu badala ya kuinia kwenye malumbano yanayoipa CDM negative publicity!
 
Mwigulu ni jembe,anafaa kwa siasa za sasa.tumuunge mkono,ni kijana,mtu wa watu na anajua kujenga hoja.wanaomchukia ni wenye gubu

Mbumbumbu lazing utakuwa we ndo Chembera acha kuala bender a ya taifa Kama kanga ya mama yao mpuuzi wewe
 


Apimwe uwezo wa kufikiri
 
Hizo zote ni laana za kuzini na mke wa mtu haziwezi kufutika ndo maana anaongea bila kujua yeye ni nani na anatakiwa aongee nini, Pole sana Mwigulu ila huko sumbawanga ukifanya kama Igunga kuiba wake za watu utaiona nanii juu ya Dari shauri yako.
 

Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako!

jinga kabisa!
 
Hizo zote ni laana za kuzini na mke wa mtu haziwezi kufutika ndo maana anaongea bila kujua yeye ni nani na anatakiwa aongee nini, Pole sana Mwigulu ila huko sumbawanga ukifanya kama Igunga kuiba wake za watu utaiona nanii juu ya Dari shauri yako.
 
Ccm wameishiwa nguvu sasa ni uzushi na matusi imekuwa ndo sera kuu ya ccm,
 

Kwani Cameruni kaoa mwanaume au mwanamke? Kama vile hamuelewi SIASA?
 
Msiite wanenu majina ya ajabu ajabu, matokeo yake ndio hayo sasa!
Unamwita mwanao chemba, ona sasa anavyotema!
 
Ni wazi sasa CCM inaenda kujizika kabisa, kila mara Mwigulu anaposimama kuzungumza ni propaganda za kijinga kabisa,mwananchi wengi wanamshangaa na kumpuuzia.
Viongozi wa CCM wenye hekima mwonyeni Mwigulu aache huo ujinga, maana wanaCCM wengi wanazidi kukatishwa tamaa kwa mwenendo huu.
 
Nchemba, maadui wakubwa Tanzania ni hawa.

1. Ujinga,
2. Maradhi,
3. Umaskini na
4. Ufisadi.

Acha kudharua watanzania na kuwapotezea muda kusikiliza matusi yako.
 
Kama unategemea shamba ambalo unajua miaka 2 na nusu ijayo utanyanganywa lazima utaanza kuruhusu liote magugu na kuharibu haribu miti n.k. Mchemba anafanya vurugu baada ya kugundua for the next 2 years hatakuwa bungeni kutokana na kushindwa kwa CCM na haoni kwa nini aendeleze wema wa kinafiki ambao hautampa manufaa yoyote ni bora aonyeshe mapema kwamba he is rotten.
 
Hiyo ndo first class ya chuo kikuu. Janga hili naapa. Inabidi chuo kilichompa hiyo shahada kimnyang'anye. Anadhalilisha usomi
 
Kwani hao ccm marafik zao ni kna nan vile si hao waingereza na wamarekan na ndyo wanaofanya bunge lisome bajet. Je hko wanakokwenda USA kila leo viongoz wa chama na serikali nao n mashoga aache kumix mambo huyo.
 

Kasema kweli au unatania??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…