BilaShaka kila mmojawetu anayeitakia mema nchi yetu ambaye hana chembe ya Ubaguzi.Mh Raisi aliposema anaridhia Tanzania si Kurekebisha KATIBA bali Kutengeneza KATIBA MPYA alifurahishwa na kauli hiyo kwasababu Mh Kikwete atakuwa Raisi mojawapo wachache walioridhia kutengenezwa Katiba pasina damu kumwagika huo ndio UKWELI .Mchakato umeanza Kisheria,bahatimbaya wapo waheshimiwa wabunge wa chama cha demokrasia CHADEMA kwamara ya pili mfulilizo wamesusa mjadala huu SWALI langu la msingi liko hapa wanadai nini ? Naomba nieleweshwe tafadhali asieelewa madai ya Waheshimiwa wale asishiriki safari hii sio posho suala linalowahusu chadema pekee (taarifa nilizonazo kwenye posho waligawanyika) huu ni Mstakabali wa TAIFA LETU Taifa ambalo hamna aliebarikiwa kwamba ni Taifa lake/ama ataishi milele ana kizazi/Jamii chake/yake ndio chenye haki ya kuishi kwa neema.Nisaidieni watanzania wenzangu Ahsanteni Sana

Kuna watu wa kuwajadili ila si wabunge wa chadema. Hawana lolote, wasikusumbue akili. Nawashauri watoke moja kwa moja wabaki wabunge wapenda AMANI.

Wewe kichaa nini?Hujui what is going on bora ukaa kimya unatuuzi ukija huku kwetu TARIME tunakutaka ******. Ndio nyinyi Watz bado mko gizani. Jithidi kusikiliza na kusoma news kama Mwananchi, Nipashe etc usisome UHURU pumbafu
Makinda alikataa miongozo toka kwa wabunge wa upinzani mana alipangiwa hivo othewise angebanwa na vifungu. Anapoahirisha bunge akagusia kwamba miongozo sasa itafata kanuni ina maana kabla ya hapo haikufata kanuni? Amri hiyo ilikuwa inasubi jana? Kwa Mtanganyika kuongelea znz ni zambi? Tuache utani CCM wana maslahi makubwa znz kwa kutumia udini thus why hata kwa mtutu Muungano will b there. Wao sasa hivi wanadai kutengana ila watu wachache wa ccm hawataki. Wamepeleka maombi un, hawamkubali Kambarage wanadai kapotosha histori, wanataka kushiriki kombe la dunia nk. Tusizuie muswada kujadili muungano.BilaShaka kila mmojawetu anayeitakia mema nchi yetu ambaye hana chembe ya Ubaguzi.Mh Raisi aliposema anaridhia Tanzania si Kurekebisha KATIBA bali Kutengeneza KATIBA MPYA alifurahishwa na kauli hiyo kwasababu Mh Kikwete atakuwa Raisi mojawapo wachache walioridhia kutengenezwa Katiba pasina damu kumwagika huo ndio UKWELI .Mchakato umeanza Kisheria,bahatimbaya wapo waheshimiwa wabunge wa chama cha demokrasia CHADEMA kwamara ya pili mfulilizo wamesusa mjadala huu SWALI langu la msingi liko hapa wanadai nini ? Naomba nieleweshwe tafadhali asieelewa madai ya Waheshimiwa wale asishiriki safari hii sio posho suala linalowahusu chadema pekee (taarifa nilizonazo kwenye posho waligawanyika) huu ni Mstakabali wa TAIFA LETU Taifa ambalo hamna aliebarikiwa kwamba ni Taifa lake/ama ataishi milele ana kizazi/Jamii chake/yake ndio chenye haki ya kuishi kwa neema.Nisaidieni watanzania wenzangu Ahsanteni Sana