CHADEMA MONDULI YAMKUBALI MAGUFULI

Eng Saimon

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
351
311
Wadau, hii ni dhahili kuwa Watanzania wameshafumbuka macho na kuweza kukubali kile kilichokuwa kikupingwa na wengi ktk kampeni...
Kampeni zimeisha sasa ni wakati wa kufanya kazi# HapaKaziTu #
Hongereni watz..
 

Attachments

  • 1457264698416.jpg
    1457264698416.jpg
    53.7 KB · Views: 23
Wewe hebu ngoja kwanza, usitake kututoa kwenye hoja ya msingi ya February mawaya
 
HAMMA JINSI, jamaa anapiga kazi, labda uwe hayawani ndo hautakubaliana na kazi yake.
 
Back
Top Bottom