Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
huko aliposema: twitter, fcbk, you tube, jamii forums n.kHizo hoja hata wakiwa nazo wataziongelea wapi wakati baba mwenye nyumba kawaziba midomo?
Akili za kuambiwa changanya na zako,viongozi wako walisema wanaenda mahakamani toka huyo unayemwita baba atoe hilo mnaloliita tamko sasa ni mwaka wa pili hakuna chochote viongozi wako walichokifanya,kila siku wanajigamba kwenda mahakamani kupinga lakini mpaka leo no any positive sign kwenye hilo,inamaana hii hali wanaipenda,na wanafanya hivo kwa kuwa wanaona ina maslahi kwao.Hizo hoja hata wakiwa nazo wataziongelea wapi wakati baba mwenye nyumba kawaziba midomo?
Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kuongelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned BrotherKama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Umesema viongozi wangu? Sina kiongozi,najiongoza mwenyewe!Akili za kuambiwa changanya na zako,viongozi wako walisema wanaenda mahakamani toka huyo unayemwita baba atoe hilo mnaloliita tamko sasa ni mwaka wa pili hakuna chochote viongozi wako walichokifanya,kila siku wanajigamba kwenda mahakamani kupinga lakini mpaka leo no any positive sign kwenye hilo,inamaana hii hali wanaipenda,na wanafanya hivo kwa kuwa wanaona ina maslahi kwao.
Siasa hadi 2020 Lazima watafute mbadala wa kucheulia nyongoKama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
ila kwa haohao nyani na ngedere Esther Bulaya alishinda kesi dhidi ya Wassira,hiyo hiyo unayoiita nyani na ngedere Lissu anaenda na kushinda kesi hiyohiyo nyani na ngedere wakishinda upinzani mnasema wametenda haki.Umesema viongozi wangu? Sina kiongozi,najiongoza mwenyewe!
Hata wakienda mahakamani itakuwa kazi bure.......tangu lini kesi ya nyani ikashindwa kwenye mahakama ngedere?
GuJike at work!aiseee.... huu uandishi tu mimi hoi. lugha hubadilika kuendana na muktadha kwa huku tulitegemea watu wenye kujielewa watumie lugha stahiki. sasa hayo maneno mengine unapoweka hata kama ulikuwa umepata sehemu point sasa unataka nawe upost inakuwa una haribu katika english tunaita diction. yaani choice of words. it is very important kuzingatia hilo katika uwasilishaji wa jambo lolote lile isipokuwa kama ume lenga watu wa aina yako..
Mkuu ukivaa Tshirt yenye picha ya Pray4Lissu unajikuta uko Central Police ukisubiria hakimu akuhukumu si tena kwa kuvaa tshirt bali kwa kuandamana bila kibali.Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Tusaidie kumwambia spika wako akumbushie Kwa bosi wake Katiba mpya kwanza neo name wewe ulete hoja yako ya kuzinguliwaKama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Hizo ni minor cases, hivi unatarajia jaji wa nchi hii atengue tamko la rais?ila kwa haohao nyani na ngedere Esther Bulaya alishinda kesi dhidi ya Wassira,hiyo hiyo unayoiita nyani na ngedere Lissu anaenda na kushinda kesi hiyohiyo nyani na ngedere wakishinda upinzani mnasema wametenda haki.