Hivi inakuwaje leo wale walikuwa wanajiasibu kwa mbwembwe za kuleta upinzani, ndio wanaokiita G55. Wanatoka wapi?? Dhamira yao ni ipi?? Si uchaguzi uliisha?
Ni aibu sana kupingana viongozi wa Chadema kwa maslahi ya matumbo yenu. Hata huko mtakapohamia G55 hamtakuwa na Audacity ya kuleta mabadiliko ya upinzani.
Na sasa mnaiabisha Chama chenu kwa sababu ya uchu wa Madaraka. Kila siku Mrema unatoka kuzungumza na waandishi wa habari eti kwa kuwapinga viongozi waliochaguliwa na chama chenu. Si mkubali yaishe?? Kweli madaraka matamu.
Hata hivyo picha mnayoonyesha inadhihirisha kuwa Chadema mnaweza kuwa chama cha hovyo kuliko vyama vingine vya Upinzani. Jirekebisheni na muunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya chama.