Mimi nikiwa mmoja wa makamanda haswa wa chadema,napata ghadhabu sana kuona viongozi wetu mnakuwa watu wa kulalamika kila siku hamchukui hatua kutokana na ukandamizaji wa democrasia.
Haiwezekan Rais akatuzuia kufanya siasa halafu yeye anazunguka nchi nzima anapiga kampeni nyie mnakaa mnalalamika.
Kwani haki ya kufanya siasa ni hisani ya Rais au ni takwa la kikatiba? u wapi ukamanda wenu? ni katika kulalamika? hatua gani mnachukua za kisheria?
Ifike mahala mjue kuna mamilioni ya watu tulioweka matumaini kwenu! Kwa staili hii ya kulalamika,tunazidi kumpa John kiburi anazidi kutusigina kila siku.