Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,512
- 4,710
Hivi huoni kama wakisusia uchaguzi ndiyo watakuwa wamejizika kabisa kwani hawa watashirikisha vyama vyao shikizi vya kwenye briefcase ili ku justify ushenzi wao.wasalaam.
kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa mwezi ujao naona chadema mmeamua kulamba matapishi yenu kwa kushiriki uchaguzi ambao kwa vyovyote
wangeacha tu kuliko kubariki haya yanayoendelea, ona sehemu nyingi wasimamizi wamefunga ofisi hawapokea fomu za chedema.Hivi huoni kama wakisusia uchaguzi ndiyo watakuwa wamejizika kabisa kwani hawa watashirikisha vyama vyao shikizi vya kwenye briefcase ili ku justify ushenzi wao.
Wakikuita muandamane na kudai haki,hutaki.Ila kwa ushauri kwa njia ya waraka/par avion hujambo.wangeacha tu kuliko kubariki haya yanayoendelea, ona sehemu nyingi wasimamizi wamefunga ofisi hawapokea fomu za chedema.
Vingapi vimeshafutwa kwa kutoshiriki huo upuuzi unaoitwa uchafuzi?Au mfano utaanza kwa CHADEMA tu?Chama kisichoshiriki uchaguzi kinafaa kufutwa kwani kitakuwa na agenda nyingine nje ya siasa
uandamane police wao wakuvunje?Wakikuita muandamane na kudai haki,hutaki.Ila kwa ushauri kwa njia ya waraka/par avion hujambo.
Wangapi walivunjwa?uandamane police wao wakuvunje?
Ni kweli. Lkn vipi kama chadema inahujumiwa waziwazi na kuporwa ushindi?Hivi huoni kama wakisusia uchaguzi ndiyo watakuwa wamejizika kabisa kwani hawa watashirikisha vyama vyao shikizi vya kwenye briefcase ili ku justify ushenzi wao.
Ni lini TADEA ilishiriki uchaguzi?Chama kisichoshiriki uchaguzi kinafaa kufutwa kwani kitakuwa na agenda nyingine nje ya siasa
Kuna vyama 11 kazi yao ni pale Chadema wakiwa na jambo lao basi wananunuliwa suti za bei poa na CCM ili waitishe press ya kuizodoa Chadema lakini kushiriki uchaguzi hapana.Ni lini TADEA ilishiriki uchaguzi?
Nchi ya hovyo sana hiiKuna vyama 11 kazi yao ni pale Chadema wakiwa na jambo lao basi wananunuliwa suti za bei poa na CCM ili waitishe press ya kuizodoa Chadema lakini kushiriki uchaguzi hapana.
Ndivyo ilivyo wamejichanganya kushiriki uchafuziNi kweli. Lkn vipi kama chadema inahujumiwa waziwazi na kuporwa ushindi?
Subira umeacha kuvuta kheri sasa hivi unavuta Bangi!!Wasalaam,
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa mwezi ujao naona CHADEMA mmeamua kulamba matapishi yenu kwa kushiriki uchaguzi ambao kwa vyovyote vile hamuwezi kuashinda kwani kwa 90% wazimamizi wote wa uchaguzi ni makada wa CCM.
Inashangaza kwenda kwenye uchaguzi kisha mkishashindwa mtaita media na kulalamika kinafiki kwamba uchaguzi haukua huru na haki na kwamba mmeibiwa kura.
Ilikua ni swala jema mngewaacha ccm na washirika wake kina ACT na CHAUMA wagawane hiyo mitaa mngejenga imani kwa watanzania kuwa kweli nyinyi ni Chama cha Democrasia na maendelea na mchakato wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini kitendo cha kushiriki kitu mlichowaminisha watanzania ni haramu ni kubariki hiyo haramu.
My take:
Ukiisha uchaguzi msithubutu kuitisha media na kulalamika mumechezewa rafu huo utakua ni unafiki zaidi ya unafiki.