Kuhusu suala la gesi, Dr Slaa aliulizwa hilo swali jana alipokuwa MOSHI kwenye mkutano, ila akasema hayukotayari kulizungumzia kwa sasa, hivyo analiandalia statement iliyoshiba ndipo atoe kama msimamo wa chama juu ya gesi na watu wa Mtwara.
Hahahahaahaa.........Japo sijaelewa lakini nafikiri umemnyoosha Mpotoshaji Kim Kadash
Narudia, wana Mtwara hawajakataa gesi kutoka.
unasema hivyo ukijiaminisha kabisa kwamba waendesha mitambo hiyo wote watakua hao wamakonde au kipi kinachokusukuma uwamini kama mitambo ikiwa hapo basi wamakonde watakua mbele kimaendeleo hapo hapo!kwa kuwa wanachadema tumewaelewa wana mtwara kwamba wanachotaka ni kusafirisha gesi ikiwa tayari imetengenezwa tutaakikisha mitambo ya michakato ya gesi inawekwa mtwara na ikibidi mitambo ya umeme ijengwe mtwara ili usafirishwe umeme kupitia grid ya taifa kwenda mikoa yote ya tanzania
kwa hiyo ile iliyo tayari dar ing'olewe wapelekewe wao ili ikapendezeshe tu mji wao au?na je hizo gharama za kung'oa hiyo mitambo,kuibeba na kwenda kuisimika mtwara hao jamaa walio kwenye maandamano ukiwatizama tu wanaonekana ni watu wanaoweza kuzibeba au?anapotosha kwa makusudi na hili ndilo wanvyofanya wanamagamba,wanapotosha ili wapate sababu ya kuwatukana watu wa mtwara,wanachosema mtwara kigine ccm wanasema vingine awajui kwamba kwa kufanya hivyo ni matusi kwa watu wa mtwara kwamba awataki watanzania wengine wasitumii gesi,hayo ni matusi, wanamtwara wanachosema mitambo yote ya michakato ya gesi ijengwe mtwara alafu gesi ipelekwe kila mkoa ikiwa tayari,na mitambo ya umeme ijengwe mtwara alafu ipelekwe katika kila kijiji,hivi hilo hawa magamba inaitajika nini kuliewa hilo?,mbona mtoto wangu wa darasa la nne amewaelewa ao watu wa mtwara,hata wewe ulietoa hoja hii umeshindwa kuelewa hilo?
Kwa takriban wiki 3 au 4 sasa kumekuwapo na sintofahamu huko kusini mwa Tanzania eneo linaloaminika kwamba liko nyuma kidogo kimaendeleo hapa nchini,sintofahamu hiyo imetokana na kugundulika kwa gesi kwenye eneo hilo..gesi ambayo serikali kuu ingependa kuona inaifadisha nchi nzima ikiwemo mikoa ya kaskazini hususan Kilimanjaro na Arusha lakini kwa namna moja ama nyingine wakazi wa maeneo hayo ya kusini kulikopatikana gesi wamekua na mtazamo tofauti, wao wangependa gesi hiyo iwe yao peke yao!
swali langu kwa vyama vya upinzani hususan chama kikuu cha upinzani bila shaka CHADEMA,je wao wanawaambia ama wanawaahidi nini wana kusini kama kwa mfano leo wanaachiwa nchi waienedeshe wao CCM ikae pembeni kama mtazamaji...je watakubaliana na wana Mtwara gesi iwe yao peke yao na kuwaudhi watu wa kaskazini,ziwa,mashariki na kwingineko ambao rasilimali zinazopatikana kwao wamekua wakishare na watu wa nchi nzima wakiwemo watu wa Mtwara????
Nawasilisha but naomba tuwe fair tu kwenye kuchangia hapa,ushabiki kupita kiasi wa vyama tuuweke pembeni,tujikite zaidi kwenye facts.
asanteni sana.
msimamo wa chama anauandaa yeye!
hebu tusaidie basi hayo maandamano pichani yalikua ni ya kuunga mkono gesi kwenda dar au?
Hauandai yeye peke yake bali kitafanyika kikao cha kamati kuu kitakachokaa tar 26 na 27 mwezi huu, kujadili mambo mbalimbali yahusuyo mustakabali wa taifa likiwemo suala hilo la gesi,
Baada ya hapo tar 28 kutakuwa na kikao cha baraza.
Halafu baada ya hapo ndipo Tamko Kali la chama litatolewa na kuzinduliwa mwaka wa nguvu ya umma kuilazimisha serikali kutekeleza mambo ya msingi yakiwemo yalio kwenye barua aliyoandikiwa Kikwete.
we slow learner? Tabular rassa? Why kila kitu Dar? Na sasa Bwagamoyo?
mtaanza kususa na kuandamana tena au?
ccm ai itulambee chani tuvamakonde? 1.ihimbulenge machine la medi kuchitangalii mkupelekeja kudodoma 2.mkuhimbulanga reli ichisafirisha mtesa mkunadenga kudasalama 3.vadombwelenge taa ja mwanga nkali ja uwanja wa ndege kuntwara nkunapelekeja arusha 4.vapapulenge nkataba wa kudenga lami kati ya kuntwara na malawi vanang,o nkupelekeja bagamoyo bado tuvalola chi, nelo vahimbanga mapondo mmawelu vatwale gesi vaipelekeje kudasalama,mme ne muve neko mkodolanga chi meho mwachi chimunu mchikalango! Kwani vazee vachilowa tangu vala vahwile?mma!!! Kudobwa hambi ane nalu kukutu munyopa dau unji walepi mchila. Ebo
msimamo wa chama anauandaa yeye!
Hahahaha! namwaka vani nga'ni mavemba la ayuvao! nanga ambe kubali ndulu ,kama mapanga yunachelana chihi tupanyaneeeeeee mpaka pavaandike bahi ili mradi gesi inauke. vazee vala vate kuchi gesi ikauka vakatende ubishi vanasafirisha medi nkuleka gesi! nanga ambekubali upyanda neo! pilikani chihi namwaka vanahau chimmusije ung'anga maleha na mpaka vanalitambu malina lao la chijoko!
nimecheka sana lkn kama kuna mod wakukaya anakuadhibu muda si mrefu au na yeye atakua analeta mambo ya kisungo?