Ulitaka Moshi mpewe nini? cha mbege?
Niliwahi kusikia kuwa hivyo viwanda vya bia ndiyo wateja wakubwa wa madawa ya kulevya. sijataka kuamini sana lakini wajomba zangu kule Moshi wawe macho sana maana kule wamekushindwa watataka kumaliza watu akili kiaina!zomba, yaani utafikiri na wewe ni mtabiri. Moshi tunakunywa mbege. Haina VAT ile...haya maviwanda kila kona yanatusaidia kulewa zaidi na kusahau kufuatilia uporaji wa mali yetu ya asili. Think well about it
Mtu hasifiwi kwa kazi ambayo anapaswa kuifanya katika hali ya kawaida..........tusifie pale ambapo amefanya la ziada