CHADEMA mnakubalika, tatizo hamna msimamo

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
2,031
Reaction score
1,529
Ndugu wanajukwaa,salaam za mihangaiko.
Ni imani yangu kuwa wote mu wazima wa afya na mnaendelea na ujenzi imara wa taifa letu japo kila mtu ana shida na matatizo yake ambayo yamesababishwa na yeye mwenyewe au muundo wa taasisi za serikali.
Nijikite katika mada yangu ambayo ina nia ya kuwaambia wapinzani wetu hawa wa jadi almaarufu kama chadema kuwa wanaungwa mkono na watu wengi ila shida ni kuwa hawana misimamo.
Katika hili naweza kuweka vitu viwili vitatu ambavyo vitaipa nguvu mada yangu.
1.chadema walianzisha siasa za maandamano kuanzia 2010 hadi 15 lakini walishindwa kusimama kidete na kuuamsha umma ili wale wanaoandamana waendelee kuwaunga mkono.
2.Walitangaza oparesheni ukuta mwaka 2016 oktoba na kwakweli waliitia hofu polisi na vyombo vingine vya usalama na hata sisi wanaccm,lkn cha ajabu ni kuwa waliuangusha umma ulioyasubiri maandamano hayo kwaa shauku kubwaa walipoyayeyusha maaandaamano hewani.

Chadema imewaacha wengi mahabusu,vilema,vijana kukosa ajira,kufukuzwa kazi bila utetezi wowote wa chama.
CHADEMA MNAKUBALIKA LKN HAMNA MISIMAMO.
KENYA,IVORY COAST,GAMBIA NA MSUMBIJI UPINZANI UKIUNGURUMA SERIKALI INAUNGURUMA JAPO KWA HOFU MAANA KWAO WAKIITA MAANDAMANO NI LAZIMA YAWEPO.IGENI MFANO.
BY.CCM MKAMBARANI.
 
Chadema haina hoja na bado mmoja wa vingunge wenu anasema haya! Katiba ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi mnaviogopa kama UKOMA! Maana mnajua litakalotokea. Chadema kweli ni kiboko ya njia!

kaka wanakubali tatizo hawalet hoja
 
Miaka ya nyuma kidogo hata NCCR MAGEUZI, TLP, CUF vilikubalika Sanaa kupita maelezo.
Usishangae kwa siasa za Tanzania CHADEMA ikapotea na ikazaliwa CUF mpya yenye nguvu na ari mpya. Hii ndio Bongo.
 
chadema hawaelewi
 
chadema imekuwa ya mstamko
 
Sawa hilo linawezekana kama nyinyi maccm mngekuwa na ubinadamu. Ukawa wakiamua kuhamasisha maandamano kila wilaya tamzania mzima Sirro atashika adabu.

Ila ni kuhofia vijana wetu wasidhurike. Kumbuka Kenya mpaka kufikia hapo walipo na kupata Katiba ni wangapi walikufa. Ila uwezo wa kupata katiba mpya upo tena kwa amani kabisa. Ukizingatia tuna viongozi wa dini, vyama vya upinzani na taasisi mbalimbali wakipaaza sauti kwa nguvu lazima itakuja tena kwa amani.

Hii katiba imedaiwa siku nyingi lakini sijui kwa nini viongozi wa dini wanakaa kimya. Mpaka wasikie mawe yanarushwa huko mitaani.
 
chadema nyie ni waoga kama kuku.hamuwezi abadani
 
upinzani haupo tena hapa nchini labda tusubiri tena kwa muda. haupo kwakua waliopo huko sio wanasiasa wa siasa za kipinzani. bali wafanyabiashara wa siasa za kipinzani.
 
YANI NI WAJINGA KWELI MKUU
 
Back
Top Bottom