Habarin wadau hope mpo poa nisiwachoshe twende moja kwa moja mzigoni CHADEMA ni chama kikuu cha upinzan ila kinapelekeshwa bila kujua km kinaendeshwa ebu vita picha zile kesi walizowekewa na walivypbanwa polisi inavyowaharasi lkn yote tisa kumi wamesema watashiriki uchaguzi eti NGOMBE HUYU ANACHINJWA ALIVYOLALA
Msijidanganye
Msijidanganye
Bila katiba mpya bila tume huru NEVER hawatopewa nchi iwe mvua iwe jua mm sijawah kupiga kura na sitokuja kupiga kura labda mpaka ntapojiridhisha wananchi wana maamuzi na tume ipo huru na mahakama pia ina nguvu na bunge pia lina nguvu na haya ypte hayaji kwa mbwembwe bali yanakuja baada ya wananchi kujitambua na sio kupiga deki barabara au kubeba gar la mtu ni ujinga
Buku 7 nawakaribisha
Unapendekeza nini kifanyike?Habarin wadau hope mpo poa nisiwachoshe twende moja kwa moja mzigoni CHADEMA ni chama kikuu cha upinzan ila kinapelekeshwa bila kujua km kinaendeshwa ebu vita picha zile kesi walizowekewa na walivypbanwa polisi inavyowaharasi lkn yote tisa kumi wamesema watashiriki uchaguzi eti NGOMBE HUYU ANACHINJWA ALIVYOLALA
Msijidanganye
Msijidanganye
Bila katiba mpya bila tume huru NEVER hawatopewa nchi iwe mvua iwe jua mm sijawah kupiga kura na sitokuja kupiga kura labda mpaka ntapojiridhisha wananchi wana maamuzi na tume ipo huru na mahakama pia ina nguvu na bunge pia lina nguvu na haya ypte hayaji kwa mbwembwe bali yanakuja baada ya wananchi kujitambua na sio kupiga deki barabara au kubeba gar la mtu ni ujinga
Buku 7 nawakaribisha
Wasuse uchaguzi walilie katiba mpyaUnapendekeza nini kifanyike?
Kwahio ni chadema peke yao ndio wana wajibu wa kudai tume huru?Habarin wadau hope mpo poa nisiwachoshe twende moja kwa moja mzigoni CHADEMA ni chama kikuu cha upinzan ila kinapelekeshwa bila kujua km kinaendeshwa ebu vita picha zile kesi walizowekewa na walivypbanwa polisi inavyowaharasi lkn yote tisa kumi wamesema watashiriki uchaguzi eti NGOMBE HUYU ANACHINJWA ALIVYOLALA
Msijidanganye
Msijidanganye
Bila katiba mpya bila tume huru NEVER hawatopewa nchi iwe mvua iwe jua mm sijawah kupiga kura na sitokuja kupiga kura labda mpaka ntapojiridhisha wananchi wana maamuzi na tume ipo huru na mahakama pia ina nguvu na bunge pia lina nguvu na haya ypte hayaji kwa mbwembwe bali yanakuja baada ya wananchi kujitambua na sio kupiga deki barabara au kubeba gar la mtu ni ujinga
Buku 7 nawakaribisha
Hii inayopumulia mashine ambayo ndio tumain la wananchi ikifa wananchi watakata tamaaUnazungumzia chadema hii iliyokwisha kufa
Sio chadema tu kila raia anastahili kulilia hilo km nilivyofanya mm CHADEMA km chama kikuu cha upinzani wapigilie msumari nje ya apo MSIJIDANGANYEKwahio ni chadema peke yao ndio wana wajibu wa kudai tume huru?
wa serikali za mitaa walisusa, CCM wakajipongeza na bado wanadunda madarakani!, bila wasiwasi wala guilty consciousnessWasuse uchaguzi walilie katiba mpya
Hawakususa nilimsikia mbowe akiwaambia wananchi MSIKATE TAMAA nikacheka sn wakashiriki wapige kick za apa na pale ndio wakaona mmh tunaaaibika wakajitoa walitakiwa wakatae tangia mwanzo CHAMA HAKINA MSIMAMOWalisusa
wa serikali za mitaa walisusa, CCM wakajipongeza na bado wanadunda madarakani!, bila wasiwasi wala guilty consciousness
Buku 7We unafikir kila MTU analipwa humu? Jinga kabisa.
Hivi unajua kama wasiposhiriki uchaguzi matokeo yake yatakuwa nini? Au wewe unashauri wangefanyaje, maana umekuja na povu jiiiingi kama kuku anayetaka kutaga, umetoa yai lako viza umesepa.Habarin wadau hope mpo poa nisiwachoshe twende moja kwa moja mzigoni CHADEMA ni chama kikuu cha upinzan ila kinapelekeshwa bila kujua km kinaendeshwa ebu vita picha zile kesi walizowekewa na walivypbanwa polisi inavyowaharasi lkn yote tisa kumi wamesema watashiriki uchaguzi eti NGOMBE HUYU ANACHINJWA ALIVYOLALA
Msijidanganye
Msijidanganye
Bila katiba mpya bila tume huru NEVER hawatopewa nchi iwe mvua iwe jua mm sijawah kupiga kura na sitokuja kupiga kura labda mpaka ntapojiridhisha wananchi wana maamuzi na tume ipo huru na mahakama pia ina nguvu na bunge pia lina nguvu na haya ypte hayaji kwa mbwembwe bali yanakuja baada ya wananchi kujitambua na sio kupiga deki barabara au kubeba gar la mtu ni ujinga
Buku 7 nawakaribisha
Buku 7Hivi unajua kama wasiposhiriki uchaguzi matokeo yake yatakuwa nini? Au wewe unashauri wangefanyaje, maana umekuja na povu jiiiingi kama kuku anayetaka kutaga, umetoa yai lako viza umesepa.
Buku 7 ya nini sasa? Au leo Polepole hajawalipa unakuja kuidai huku?Buku 7
Waulize TAKUKURU watakuambia pia kwa nini hawaifuatilii CUF.Unazungumzia chadema hii iliyokwisha kufa