mbegubora29
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 483
- 294
Ni sauti ya Chadema au Sauti ya Lema?Ukimsikiliza lema kwenye audio yakee inayosambaa mtandaon utaona ni wazi ana chuki na viongozi wa serikali yakee,na wafuasi wake wanamwita nabii kuonesha ukiwa chadema unakuwa km mhuni fulani hivii.
Jipambanueni kutoka kuwa wajinga na wenye husda kisa tu mmekosa nafas ya kuwa viomgozi!
Ndugu mbona Lema alichoongea kipo kikatiba kuhusu kurusiwa Wapinzani kufanya mikutano ni halali yaani ninaamini ni ujumbe mwafaka tu kwa nyakati tulipoUkimsikiliza lema kwenye audio yakee inayosambaa mtandaon utaona ni wazi ana chuki na viongozi wa serikali yakee,na wafuasi wake wanamwita nabii kuonesha ukiwa chadema unakuwa km mhuni fulani hivii.
Jipambanueni kutoka kuwa wajinga na wenye husda kisa tu mmekosa nafas ya kuwa viomgozi!
Ukimsikiliza lema kwenye audio yakee inayosambaa mtandaon utaona ni wazi ana chuki na viongozi wa serikali yakee,na wafuasi wake wanamwita nabii kuonesha ukiwa chadema unakuwa km mhuni fulani hivii.
Jipambanueni kutoka kuwa wajinga na wenye husda kisa tu mmekosa nafas ya kuwa viomgozi!
We ni nyoka auAndika hayo maneno aliyasema kwnye hyo audio
UVCCM bhana! Kwa hiyo CCM ndiyo chama cha siasa! Na siyo kikundi cha watu wacahche, na kinacho rithishana madaraka kutoka kizazi kimoja kwenda kingine, kama wengi tunavyo amini!!Ukimsikiliza lema kwenye audio yakee inayosambaa mtandaon utaona ni wazi ana chuki na viongozi wa serikali yakee,na wafuasi wake wanamwita nabii kuonesha ukiwa chadema unakuwa km mhuni fulani hivii.
Jipambanueni kutoka kuwa wajinga na wenye husda kisa tu mmekosa nafas ya kuwa viomgozi!
Tofauti ya ccm na Panya Road ni umri tu mkuuUVCCM bhana! Kwa hiyo CCM ndiyo chama cha siasa! Na siyo kikundi cha watu wacahche, na kinacho rithishana madaraka kutoka kizazi kimoja kwenda kingine, kama wengi tunavyo amini!!
Waambie ukweli hao wataahira wa ccm! Hawana tofauti na mapanyaroad!Tofauti ya ccm na Panya Road ni umri tu mkuu
Mwambie ukweli huyo pimbi, hajielewi, mavi yake!Kwa hiyo mh Rais alikutana ikulu na kiongozi wa kikundi cha wahuni?? hata std 7 failure hawezi kuandika ujinga huu
mbegubora29Tofauti ya ccm na Panya Road ni umri tu mkuu