mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,196
- 1,627
Kwanza ni mzee bora amerudi CCM. Hana hata impactKabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.
Lakini ghafla wakampokea Lowassa, mwanasiasa ambaye Chadema hao hao walimwandama kwa takriban miaka tisa mfululizo (tangu mwaka 2006 hadi 2015) wakimuita fisadi.
Na wala sikutafakari mara mbili, nikaamua kuacha kuiunga mkono Chadema. Bahati nzuri Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Slaa ambaye pia alikuwa mgombea urais mwaka 2010, nae aliamua kuachana na chama hicho. Niliandika haya kumpongeza
Dear Dkt Slaa,asante kwa kufanya maamuzi magumu kwa kujiuzulu. Tutakuenzi milele ~ Kulikoni Ughaibuni
Na niliwananga Chadema na makala hii
Siasa mchezo mchafu au baadhi ya wanasiasa ndo wachafu? USALITI: Chadema/Ukawa na Lowassa ~ Kulikoni Ughaibuni
Na baada ya Chadema kulamba matapishi yao na kumkumbatia Lowassa, chama hicho kiligeuka kuwa "chama cha mtu mmoja" kama nilivyotanabaisha katika makala hii
Makala yangu RAIA MWEMA la 05/08/15: "Chama kimoja ➡Vyama Vingi➡ Chama cha Mtu Mmoja" ~ Kulikoni Ughaibuni
Na the latest ni tahadhari niliyotoa baada ya Lowassa kukutana na Magufuli Ikulu mwaka jana
Uchambuzi Wa Kina Lowassa Kukutana Na JPM Na Kumpongeza: Mkakati Au Anarudi CCM?: ~ Kulikoni Ughaibuni
Sidhani kama Chadema wanahitaji kupewa pole kwa sababu kila aliyejaribu kuwatahadharisha kuhusu Lowassa aliishia kutukanwa.
Uamuzi wa Lowassa kurejea CCM si jambo la kushangaza kwa sababu (a) alihama CCM kwa ajili tu ya kusaka urais huko Chadema (b) kwa kugombea urais kupitia Chadema, Lowassa aliweza kukihenyesha chama hicho kilichomuita fisadi huko nyuma, lakini kikalazimika kuzunguka nchi nzima kumsafisha Waziri Mkuu huyo wa zamani.
Kwa kifupi, Chadema mmevuna mlichopanda. Hatma ya chama hiki sasa itategemea sana jinsi kitakavyoweza kuhimili kipigo hiki kikubwa kabisa kwao. As it stands, kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa chama hicho kutoambulia japo jimbo moja katika uchaguzi mkuu ujao, sio kwa kushindwa bali sio siri kuwa kuna wabunge kadhaa wa chama hicho wapo njiani kwenda CCM.
Na liwalo na liwe, wabunge wawili wasiotarajiwa kabisa kuwa ipo siku wataikimbia Chadema ni Kubenea na Bulaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
TL njia nyeupeeeeeee 2020 patachimbika, watu hawataki tena pombe.
kubenea??????..... huyu alie kwenye matazamio?........Kabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.
Lakini ghafla wakampokea Lowassa, mwanasiasa ambaye Chadema hao hao walimwandama kwa takriban miaka tisa mfululizo (tangu mwaka 2006 hadi 2015) wakimuita fisadi.
Na wala sikutafakari mara mbili, nikaamua kuacha kuiunga mkono Chadema. Bahati nzuri Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Slaa ambaye pia alikuwa mgombea urais mwaka 2010, nae aliamua kuachana na chama hicho. Niliandika haya kumpongeza
Dear Dkt Slaa,asante kwa kufanya maamuzi magumu kwa kujiuzulu. Tutakuenzi milele ~ Kulikoni Ughaibuni
Na niliwananga Chadema na makala hii
Siasa mchezo mchafu au baadhi ya wanasiasa ndo wachafu? USALITI: Chadema/Ukawa na Lowassa ~ Kulikoni Ughaibuni
Na baada ya Chadema kulamba matapishi yao na kumkumbatia Lowassa, chama hicho kiligeuka kuwa "chama cha mtu mmoja" kama nilivyotanabaisha katika makala hii
Makala yangu RAIA MWEMA la 05/08/15: "Chama kimoja [emoji654]Vyama Vingi[emoji654] Chama cha Mtu Mmoja" ~ Kulikoni Ughaibuni
Na the latest ni tahadhari niliyotoa baada ya Lowassa kukutana na Magufuli Ikulu mwaka jana
Uchambuzi Wa Kina Lowassa Kukutana Na JPM Na Kumpongeza: Mkakati Au Anarudi CCM?: ~ Kulikoni Ughaibuni
Sidhani kama Chadema wanahitaji kupewa pole kwa sababu kila aliyejaribu kuwatahadharisha kuhusu Lowassa aliishia kutukanwa.
Uamuzi wa Lowassa kurejea CCM si jambo la kushangaza kwa sababu (a) alihama CCM kwa ajili tu ya kusaka urais huko Chadema (b) kwa kugombea urais kupitia Chadema, Lowassa aliweza kukihenyesha chama hicho kilichomuita fisadi huko nyuma, lakini kikalazimika kuzunguka nchi nzima kumsafisha Waziri Mkuu huyo wa zamani.
Kwa kifupi, Chadema mmevuna mlichopanda. Hatma ya chama hiki sasa itategemea sana jinsi kitakavyoweza kuhimili kipigo hiki kikubwa kabisa kwao. As it stands, kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa chama hicho kutoambulia japo jimbo moja katika uchaguzi mkuu ujao, sio kwa kushindwa bali sio siri kuwa kuna wabunge kadhaa wa chama hicho wapo njiani kwenda CCM.
Na liwalo na liwe, wabunge wawili wasiotarajiwa kabisa kuwa ipo siku wataikimbia Chadema ni Kubenea na Bulaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Sasa Je! Upo Upande Gani?Kabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.
Mbona Lowasa kasaidia upinzani kupata wabunhe wengi sana 2015 labda uwe mfu ndio uwezi kuliona hilo.
Cdm walilamba dume.
Sent using Jamii Forums mobile app
his stomach ofczHivi Sasa Je! Upo Upande Gani?
Ndio ujue Chadema ni kichwa cha mwendawazimu hakyamama ....Namuona Membe akichanua
Waliokuwa wanapiga deki barabara unafikiri wajinga au unajisahaulishaCdm hata ingesimamisha jiwe 2015 bado ingepata wabunge wengi. Kama kura zililetwa na Lowassa akiwa na miezi miwili, leo alikuwa na miaka mitatu alileta nguvu gani?
Mkuu chahali, sio Chadema tu waliovuna walichopanda. Wewe pia unavuna ulichopanda. Jinsi ulivyoshughulika 2015 kumpigania Magufuli, naamini Malipo Yake umeyapata!Kabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.
Lakini ghafla wakampokea Lowassa, mwanasiasa ambaye Chadema hao hao walimwandama kwa takriban miaka tisa mfululizo (tangu mwaka 2006 hadi 2015) wakimuita fisadi.
Na wala sikutafakari mara mbili, nikaamua kuacha kuiunga mkono Chadema. Bahati nzuri Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Slaa ambaye pia alikuwa mgombea urais mwaka 2010, nae aliamua kuachana na chama hicho. Niliandika haya kumpongeza
Dear Dkt Slaa,asante kwa kufanya maamuzi magumu kwa kujiuzulu. Tutakuenzi milele ~ Kulikoni Ughaibuni
Na niliwananga Chadema na makala hii
Siasa mchezo mchafu au baadhi ya wanasiasa ndo wachafu? USALITI: Chadema/Ukawa na Lowassa ~ Kulikoni Ughaibuni
Na baada ya Chadema kulamba matapishi yao na kumkumbatia Lowassa, chama hicho kiligeuka kuwa "chama cha mtu mmoja" kama nilivyotanabaisha katika makala hii
Makala yangu RAIA MWEMA la 05/08/15: "Chama kimoja [emoji654]Vyama Vingi[emoji654] Chama cha Mtu Mmoja" ~ Kulikoni Ughaibuni
Na the latest ni tahadhari niliyotoa baada ya Lowassa kukutana na Magufuli Ikulu mwaka jana
Uchambuzi Wa Kina Lowassa Kukutana Na JPM Na Kumpongeza: Mkakati Au Anarudi CCM?: ~ Kulikoni Ughaibuni
Sidhani kama Chadema wanahitaji kupewa pole kwa sababu kila aliyejaribu kuwatahadharisha kuhusu Lowassa aliishia kutukanwa.
Uamuzi wa Lowassa kurejea CCM si jambo la kushangaza kwa sababu (a) alihama CCM kwa ajili tu ya kusaka urais huko Chadema (b) kwa kugombea urais kupitia Chadema, Lowassa aliweza kukihenyesha chama hicho kilichomuita fisadi huko nyuma, lakini kikalazimika kuzunguka nchi nzima kumsafisha Waziri Mkuu huyo wa zamani.
Kwa kifupi, Chadema mmevuna mlichopanda. Hatma ya chama hiki sasa itategemea sana jinsi kitakavyoweza kuhimili kipigo hiki kikubwa kabisa kwao. As it stands, kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa chama hicho kutoambulia japo jimbo moja katika uchaguzi mkuu ujao, sio kwa kushindwa bali sio siri kuwa kuna wabunge kadhaa wa chama hicho wapo njiani kwenda CCM.
Na liwalo na liwe, wabunge wawili wasiotarajiwa kabisa kuwa ipo siku wataikimbia Chadema ni Kubenea na Bulaya.
Tujikumbushe #FutureTweet hii ya Januari 9 mwaka jana
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe 2015 lowassa angegombea urais ndani ya CCM kwa sifa mbaya alizokuwa nazo CCM ingepata tabu sana pengine vurugu zingezuka inakuaje mtu mchafu namna ile anashinda urais wakati watanzania wanajua ni mchafu,kilichofanyika pale ni kuokoa CCM na maslahi yao kwani urais upo tu,kama hivi sio miaka mingi lowassa na kundi lake wanaweza ongoza nchi....
Huu ndio upambavu wangu,weka hekima yako wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya Julai 2015, nilikuwa miongoni mwa Watanzania waliokuwa wakiiunga mkono Chadema. Sio kama mwanachama bali nilikuwa naafikiana nao katika harakati zao za kisiasa hususan vita dhidi ya ufisadi.
Lakini ghafla wakampokea Lowassa, mwanasiasa ambaye Chadema hao hao walimwandama kwa takriban miaka tisa mfululizo (tangu mwaka 2006 hadi 2015) wakimuita fisadi.
Na wala sikutafakari mara mbili, nikaamua kuacha kuiunga mkono Chadema. Bahati nzuri Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Slaa ambaye pia alikuwa mgombea urais mwaka 2010, nae aliamua kuachana na chama hicho. Niliandika haya kumpongeza
Dear Dkt Slaa,asante kwa kufanya maamuzi magumu kwa kujiuzulu. Tutakuenzi milele ~ Kulikoni Ughaibuni
Na niliwananga Chadema na makala hii
Siasa mchezo mchafu au baadhi ya wanasiasa ndo wachafu? USALITI: Chadema/Ukawa na Lowassa ~ Kulikoni Ughaibuni
Na baada ya Chadema kulamba matapishi yao na kumkumbatia Lowassa, chama hicho kiligeuka kuwa "chama cha mtu mmoja" kama nilivyotanabaisha katika makala hii
Makala yangu RAIA MWEMA la 05/08/15: "Chama kimoja [emoji654]Vyama Vingi[emoji654] Chama cha Mtu Mmoja" ~ Kulikoni Ughaibuni
Na the latest ni tahadhari niliyotoa baada ya Lowassa kukutana na Magufuli Ikulu mwaka jana
Uchambuzi Wa Kina Lowassa Kukutana Na JPM Na Kumpongeza: Mkakati Au Anarudi CCM?: ~ Kulikoni Ughaibuni
Sidhani kama Chadema wanahitaji kupewa pole kwa sababu kila aliyejaribu kuwatahadharisha kuhusu Lowassa aliishia kutukanwa.
Uamuzi wa Lowassa kurejea CCM si jambo la kushangaza kwa sababu (a) alihama CCM kwa ajili tu ya kusaka urais huko Chadema (b) kwa kugombea urais kupitia Chadema, Lowassa aliweza kukihenyesha chama hicho kilichomuita fisadi huko nyuma, lakini kikalazimika kuzunguka nchi nzima kumsafisha Waziri Mkuu huyo wa zamani.
Kwa kifupi, Chadema mmevuna mlichopanda. Hatma ya chama hiki sasa itategemea sana jinsi kitakavyoweza kuhimili kipigo hiki kikubwa kabisa kwao. As it stands, kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa chama hicho kutoambulia japo jimbo moja katika uchaguzi mkuu ujao, sio kwa kushindwa bali sio siri kuwa kuna wabunge kadhaa wa chama hicho wapo njiani kwenda CCM.
Na liwalo na liwe, wabunge wawili wasiotarajiwa kabisa kuwa ipo siku wataikimbia Chadema ni Kubenea na Bulaya wapo njiani kwenda CCM.