S Soki JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 1,303 Reaction score 281 Nov 18, 2012 #21 Nani anasema CCM wana umoja? Msijidanganye. Nani Mwakembe awe na umoja na nani Lowassa? Kupelekana mahakani ndo umoja. Hakuna wakati CCM iko mbali na umoja kama sasa. Kama alivyosema mmoja time will tell
Nani anasema CCM wana umoja? Msijidanganye. Nani Mwakembe awe na umoja na nani Lowassa? Kupelekana mahakani ndo umoja. Hakuna wakati CCM iko mbali na umoja kama sasa. Kama alivyosema mmoja time will tell
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Nov 19, 2012 Thread starter #22 Jile79 said: Ila kweli umoja wa ccm ni hatari kwa taifa. Umoja wao ni kujiimarisha ktk kulifilisi taifa Click to expand... Tusidharau, wamewekeana wote wale, sasa kwa nini tunagombania fito. Tukizivunja fito nyumba haitajengwa na wote tutalala nje. Mkakati huo sio wa kubeza. CDM jipangeni na wapinzani wakweli wanaolipenda taifa hili
Jile79 said: Ila kweli umoja wa ccm ni hatari kwa taifa. Umoja wao ni kujiimarisha ktk kulifilisi taifa Click to expand... Tusidharau, wamewekeana wote wale, sasa kwa nini tunagombania fito. Tukizivunja fito nyumba haitajengwa na wote tutalala nje. Mkakati huo sio wa kubeza. CDM jipangeni na wapinzani wakweli wanaolipenda taifa hili
K Kavu Member Joined Oct 17, 2012 Posts 35 Reaction score 5 Nov 19, 2012 #23 Daudi mchambuzi said: Leo nimeona picha ya tembo nikalia sana. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Vipi mkuu,alikuwa na pembe zake au alikuwa ashang'olewa na al-shabab?
Daudi mchambuzi said: Leo nimeona picha ya tembo nikalia sana. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Vipi mkuu,alikuwa na pembe zake au alikuwa ashang'olewa na al-shabab?