CHADEMA MMefungua NJIA!


Si kweli! ingekuwa kweli Wananchi wa TZ wameichoka CCM kihivyo, CHADEMA wasingekuwa na Wabunge Chini ya 40 wa kuchaguliwa na CCM kuwa na zaidi ya 200, hiyo namba haionyeshi kama kweli wananchi wameichoka CCM, bali inaonyesha kwamba wameanza kuwa na wasiwasi nayo lkn wapo tayari kuwapa tena nafasi ya kujirekabisha!

Lakini pia CHADEMA wanajitahidi sana na wanakuja kwa kasi na kama nilivyosema hapo juu kama CCM wasipobadilika basi kuanzia 2020 au 2025 - 2030 CHADEMA wataweza kushinda kama wakiendelea na kasi hii waliyo nayo

 
Hivi wewe haousegirl unalipwa sh. ngapi na nepi?labda huna kumbukumbu,serukamba alipata ubunge kwa risasi,makongoro alipata baada ya kukimbia na masunduku ya kura....2010 elimu ya uraia na kujitambua haikuwa kama hii iliyopo leo ambapo masisiem yakipanda jukwaani kwenye mikutano yao 95% wanaishambulia Chadema as if ndio matatizo ya wananchi.....
Hata mbuyu ulianza kama mchicha ndio maana hata baba mwanaasha anaweweseka nchi haijamshinda wakati tuna macho.....
Acha kuvaa miwani ya mbao na tafadhalini labda mna jukumu la kuendelea kuwasifia magamba kuwa bado wanapendwa walewe sifa wakati raia tunasonga mbele kudai uhuru wa kweli...hongera kwa hili....
 


Kama hauamini kwamba tutashinda hasi hautufai. ondoa propaganda hapa jamvini
 
Kama hauamini kwamba tutashinda hasi hautufai. ondoa propaganda hapa jamvini

Nani kakupa hiyo haki ya kuamua ni nani aandike na kusema nini hapa JF? Kama hupendi au haukubaliani na nilichoandika si upotzee tuu kama wenzako walivyofanya?
 
Jakaya Kikweta anatamani uchagu8zi ufike nawakabidhi CDM maana kashaona chadema ni moto. Kawaambia polisi wasitegemewe tena na CCM.

Mleta mada binamu yake Mwigulu>
 

naona mtumishi wa bwana anaezunguka makanisani amekutuma, kachukue posho sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…