HUMU NDANI KUNA WATU WANASHANGAZA SANA, HIVI KAMA ASAADSYRIA3 anajua kuwa wanasheria wa chama ndo kesho wanatakiwa wakijibu huko mahakamani hayo mapingamizi na bila shaka kikao kitafanyika na labda nikwambie kuwa zzk hana lolote kama anaona,kuwa anaeza na umaarufu wake c aondoke kama walivyofanya vibaraka wake akina mwampamba na shoza? mbona anahangaika. halafu nimwambie kuwa hapo sasa ndo kajiharibia sana ndo kwanza atafukuzwa uachama.
maamuzi ya jaji leo uck mkuu hutalala kwa maumivu tatizo akili zinajuwa what they r doing not like u u will b used an thrown away like rubishKwa mfano unaweza kushauriwa na illiterate aliyejijengea aura ya digrii outdated kuwa ni mtaalamu wa migogoro halafu ukikubali ushauri wa mtu huyo ambaye hajawahi kusuluhisha mgogoro hata wa ukoo utakua outdated.Zamani kwenye vikao vya au semina za watu wenye hulka hizi nilikua natoka nje.
Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.
Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.
sasa hembu angalia.
sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.
NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.
Nawasilisha,
Hilo ndo anguko jidanganye et kuimarsha chama! chama kimekushinda ntakupa kura yangu et uongoze nchi na ukabila wote huu never!
Vijana wamekuwa wapuuzi sana siku hizi.....ukimuona kijana anayetamba kuwa ana akili sana...fikiri mara mbili.Chadema imesafisha chama so unaona shibuda ana adabu sasa hivi. Cdm inakwenda kwenye uchaguzi ikiwa safi. Zitto atakuwa mahakamani akipigania uanachama wake.
hilo baraza kuu si ndo mh. Zzk alilia kama mtoto? Haa haamahakama ishapiga ugokoni suburi baraza kuu litaipiga kamati kuu za uso na mbowe kuchezea kichapo aeleze anahusika vp na mmbo ya totoz
teh teh, kumbe ni gambaaa, nyambaafu..remote ya tengeru yakwama kwa jaji utamwa
hahahahahahmbona mavi walishalamba kitamboooooooo
mbona mavi walishalamba kitamboooooooo
Mgogoro huu unamwathiri zaidi zitto na kuipaisha zaidi chadema!
hilo baraza kuu si ndo mh. Zzk alilia kama mtoto? Haa haa
hilo baraza kuu si ndo mh. Zzk alilia kama mtoto? Haa haa