CHADEMA mmechafuka pakubwa sana

CHADEMA mmechafuka pakubwa sana

chadema ilikuwa chadema isiyo na lowassa lakn kwa sasa huyu Mzee anaonekana anatumia busara wakti anachelewesha upatikanaji wa haki hajazoea ugumu na mikikimikiki ya polsi
[HASHTAG]#itabdi[/HASHTAG] tuanzishe opereshi ONDOA LOWASSA OKOA CHADEMA
 
Kelele nyingi kumbe wakwepa kodi wakubwa.

Mabadiliko mabadiliko kumbe wao ndio wa kwanza kuwaibia wananchi!!!!!

Shame on you Chadema
 
Back
Top Bottom