Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Ni wiki hii tu umma wa watanzania tulishuhudia jinsi marehemu Mheshimiwa REGIA MTEMA - Mbunge viti maalum CHADEMA alivyozikwa kwa heshima zote na serikali na chama. Katika shughuli zote msiba hakukuonekana tofauti zozote za kiitikadi za kisiasa baiba ya vyama vya CCM na CHADEMA pamoja na vyama vingine.
Bila shaka watanzania tunategemea kuwa mambo yatakuwa hivyo pia katika msiba wa Marehemu JEREMIAH SUMARI aliyekuwa mbunge wa Arumeru mashariki. Hata hivyo binafsi nimeanza kuwa na wasiwasi wa ushiriki wa CHADEMA katika msiba huo kwa vile tayari wameanza kuzungumza jinsi ya kulipata Jimbo hilo kabla hata ya SUMARI kuzikwa.
Wana JF someni thread yenye kichwa cha habari "Shaka juu ya mgombea ubunge wa CHADEMA Arumeru mashariki".
My take: Tungesubiri SUMARI azikwe kwanza na tume walitangaze Jimbo hilo. Kwa kipindi hiki tuungane kwa pamoja katika majonzi na kuifariji familia ya marehemu.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen.
dah...kweli siasa sihasa. yaan hata msiba haujaisha tayari vuguvugu limeshaanzishwa? tumalize kwanza msiba ndio changamoto zianze.
Ni wiki hii tu umma wa watanzania tulishuhudia jinsi marehemu Mheshimiwa REGIA MTEMA - Mbunge viti maalum CHADEMA alivyozikwa kwa heshima zote na serikali na chama. Katika shughuli zote msiba hakukuonekana tofauti zozote za kiitikadi za kisiasa baiba ya vyama vya CCM na CHADEMA pamoja na vyama vingine.
Bila shaka watanzania tunategemea kuwa mambo yatakuwa hivyo pia katika msiba wa Marehemu JEREMIAH SUMARI aliyekuwa mbunge wa Arumeru mashariki. Hata hivyo binafsi nimeanza kuwa na wasiwasi wa ushiriki wa CHADEMA katika msiba huo kwa vile tayari wameanza kuzungumza jinsi ya kulipata Jimbo hilo kabla hata ya SUMARI kuzikwa.
Wana JF someni thread yenye kichwa cha habari "Shaka juu ya mgombea ubunge wa CHADEMA Arumeru mashariki".
My take: Tungesubiri SUMARI azikwe kwanza na tume walitangaze Jimbo hilo. Kwa kipindi hiki tuungane kwa pamoja katika majonzi na kuifariji familia ya marehemu.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen.
Tena hizi ni siasa chafu sana kwa baadhi ya watu wachache ambao wanatumia vibaya keybord zao kuwavuruga wanachadema na viongozi wa kamati kuu kufanya maamuzi sahihi.
HII NI TABIA CHAFU NI KAMA WATOTO WANAOGOMBEA URITHI WAKATI HATA MAITI HAIJAZIKWA.
Mh! umetumwaee!