KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Kuna bonge la mechi leo kati ya Simba na Mtibwa uwanja wa taifa!Lazima mnyama ale miwa leo!Siasa zimepoteza muelekeo lkn majembe endeleeni kupiga makelele yanasaidia sana sie kula nchi!
tupe matokeo ya uwanja wa taifa mkuu?