CHADEMA: Mkutano wa hadhara leo

CHADEMA: Mkutano wa hadhara leo

Joined
Sep 26, 2012
Posts
30
Reaction score
7
Habari kamanda, nakupa taarifa ya mkutano wa hadhara j2 tar.24 kata ya Makumbusho, katika uwanja ambao upo mbele mbele kidogo ya shule ya msingi Mwananyamala B, au karibu na kituo cha Royal Mwananyamala, mgeni rasmi Mh.Mnyika.

Tafadhali toa taarifa kwa wanachama na wananchi waudhurie kadri wanavyoweza.

People's Power.
 
Hapa sio UBAO wa Matangazo ya Chadema

Kama huna cha kubandika hapa kaa kimya. Hujakatazwa wala kulazimishwa kuweka lako hapa. Chapeni kazi makamanda achaneni na mavuvuzela yaliyoishiwa sera yamekalia udini kama turufu pekee ya kisiasa iliyobaki.
 
Karibu ADC kwa maendeleo ya taifa
 
ngoja nipime mkutano au simba na mtibwa kipi bora?
 
Kuna bonge la mechi leo kati ya Simba na Mtibwa uwanja wa taifa!Lazima mnyama ale miwa leo!Siasa zimepoteza muelekeo lkn majembe endeleeni kupiga makelele yanasaidia sana sie kula nchi!
 
Back
Top Bottom